Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Jamaa mito hua yuko strong sana sijui leo kawaje.Anyways ndio tumeshazipoteza points 3 muhimu.

ndo hivo ni matokeo ya mchezo, ila timu si mbaya sema tu ujanja wa okwi, mi nashabikia yanga lakini nasemaga ukweli kuwa okwi kwenye ligi yetu anaongoza kwa ubora, aliniboa tu alipokuwa yanga hakucheza kama anavyokuwaga na simba
 
Dah!!!! We nomaa mpaka mwenye hati miliki ya JF kakupa like pamoja na kuandika kilugha!!! Hahahahahahaha lol! VILUGHA siku hizi JF RUKHSA!! Chezeya mnyama weye!

Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.
 
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa

Kateni rufaaa wazee wa rufaaa mpira hamuwezi. Kwanza Simba wamemchezesha Ibrahim Ajib mwenye kadi 3 za njano.
Hahahaaaaaaaaaaa
 
Nawasubiri waandishi wa habari wa magazeti tuone watasemaje, maana walikuwa wanasema Simba haijaifunga Yanga muda mrefu kwenye ligi, huku wakikwepa kuzungumzia mechi nyingine zisizo za ligi!
 
Simba wamenifurahisha sana dk 3za mwisho yanga wametafuta mpira kwa Tochi.
 
Mnyamaaaaaaaaaaaa...kila la heri kwenye kuchapana fito jangwani msitoane macho tu.

Mnyama hoyeeeeeeeeeeeee.....acha wachapane tutazika hatuna jinsi ni majirani zetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom