Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Mkasirikie Okwi wewe kaha....wahedi. What shall I kiss that stinking ass peleka ukauze huko.Mdomo mrefu kimoja unaleta za kuleta.

Huwa tunauza wote mngese wewe. koma kuniquote malaya wa kiume wewe. Kazi umbeya tu nipitie mbali, sikujibu na nakutupa kwa dustbin ngedere pori mshxxxxiiieeeww
 
Haya sasa, kushinda mmeshinda lakini je..? Ubingwa Mtachukua?

Sasa umekuja kivingine baada ya kutahayari. Hatuna haja na ubingwa usio na hela sisi tumemtaka mke wetu na tumempata. Kombe la ndondo tumewaachia wadogo zetu Azam. Na kwa taarifa yenu leo mdogo wetu ameshinda.
Kama haitoshi mimba kadi nyekundu ya taahira kiziwi lenu lisilosikia filimbi Niyonzima litawagharimu mechi mbili zijazo.

Lazima mpoteane tu.
 
Unafikiri kuchukua kombe ni rahisi hivyo, jtano JKT Ruvu wanawapotezea dira kabisa maana mkijitahidi sana mtatoa nao sare. Ukizingatia injini zenu za ushindi hazitakuwepo (Niyonzima na Coutinho) na asipokuwepo Nadir Haroub na Msuva ndo mtapotea kabisa.

Gari kubwa Simba limekata breki ole wake atakayebinuka mbele yetu.
 
Halafu kuna watu humu kuanzia muda huu, ukiona umeniquote sijakujibu ujue uko kwa dustbin tu.
Kama mtu huwezi kujiheshimu na kutaniana kimpira, please usiniquote wala kunitaja. Sitaki shobo na mtu, kuna wastaarabu ambao tunataniana kistaarabu. Hao tutaendelea kama kawa, ile nyie vichwa vya panzi mnikome.

Kama matusi hapa nina kamusi, sitaki na zaidi niko kwa kwaresma.
Sasa wale wasiojiamini kwenye visuruali vyao kuna nini mtaquote hadi hii.
Aliyeguswa kufwaaaa for me.
 
Huwa tunauza wote mngese wewe. koma kuniquote malaya wa kiume wewe. Kazi umbeya tu nipitie mbali, sikujibu na nakutupa kwa dustbin ngedere pori mshxxxxiiieeeww

Mngese wewe tena professional. Hiyo ass chafu peleka uwanja wa fisi.Kakamuliwe ngama wewe usisahau na diapers.
 
Huwa tunauza wote mngese wewe. koma kuniquote malaya wa kiume wewe. Kazi umbeya tu nipitie mbali, sikujibu na nakutupa kwa dustbin ngedere pori mshxxxxiiieeeww

Wewe mwanamke acha kujidhalilisha, nimekuwa nikifuatilia post zako kila yeboyebo ikifanya vibaya hukawii kutukana watu humu. Lakini maneno yako ya kejeli tuliyaona siku Simba ilipotoa sare Tanga, ilipofungwa na Mbeya City na Stendi United, lakini sidi Simba ni wavumilivu sio kama wewe.

Umeshindwa ushabiki kuliko kujidhalilisha mwenyewe achia wengine wanaojua soka na ushabiki.
 
Ulikuwa umepotea sana mpaka nikawa na wasi wasi umekula ban nini? Refa kawabeba hata nyie, Nadir Haroub kuna faulo aliicheza kipindi cha kwanza lakini hakupata kadi yoyote.

Sisi alitubeba kwenye faulo aliyofanya Banda kipindi cha kwanza pia.

Ha ha haaaaaa Masuke mimi mtoto mwema kabisa, ban mods wakinipa watanionea tu, japo niliiomba mwenyewe.
Tumetaka nanyi mikia mfurahie angalau, maana bila hivyo wakina Aveva wangekuwa kwenye hali mbaya sana.

Week inayoisha hii nilikuwa busy sana tu, leo tena uwanjani nikala za uso, zaidi refa kanichefua sana na yellow card zake double double.
Ile red kwa Ninyonzima ndio akanikata maini kabisa, baada ya muda nikajitokea zangu maana km zege lilishalala lile.
 
Last edited by a moderator:
Halafu kuna watu humu kuanzia muda huu, ukiona umeniquote sijakujibu ujue uko kwa dustbin tu.
Kama mtu huwezi kujiheshimu na kutaniana kimpira, please usiniquote wala kunitaja. Sitaki shobo na mtu, kuna wastaarabu ambao tunataniana kistaarabu. Hao tutaendelea kama kawa, ile nyie vichwa vya panzi mnikome.

Kama matusi hapa nina kamusi, sitaki na zaidi niko kwa kwaresma.
Sasa wale wasiojiamini kwenye visuruali vyao kuna nini mtaquote hadi hii.
Aliyeguswa kufwaaaa for me.

Usitutishe wewe ukifungwa unapaniki sana tumekuzoea. Kidude umepigwa kimenasa na litimu lenu la Simba veteran au Magarasa ya Simba.
 
Aisee kuna mzungu hapa kapiga jezi yake ya Yanga ana huzuni kweli sijui ni ndugu yake na kocha wa Yanga.

Send off ya muholanzi Pluijim ilikuwa leo, harusi itatangazwa na Manji muda wowote.
 
Mke wetu mwenyewe kila siku anatulia na mnyoa na Gillete!! Kama leo kimoja cha Nguruwe aisee Hahahhahaha
 
Aisee Mungu atusamehe tunafukuzisha makocha, huyu kesho sijui kama atakua na kazi pale Jangwani kwenye matope.
 
tokea nianze kujua mpirab tz cjawah ona team imemiliki mpira ndani ya dk 3. bila kubutua, kupoteza wala kuharibu hahahahaha aseeee Simba RAHA jamani

Hiyo ndiyo Simba bhana, ukitaka mpira wa raha, ustaarabu nenda Simba. Zile gonga huwa naziona ligi za Ulaya tu lakini Simba wamezishusha Tz tufaidi kwa raha zetu.
 
Last edited by a moderator:
Kilichinifurahisha leo ni zile pasi 28 za mwisho yanga walibaki. wakishangaa tu.
 
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!

Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.

pole sana kumbe ww ndo mbumbumbu maana nmekuona ulivozimia simba Raha tele.
 
Back
Top Bottom