Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ungelikuwa unajua unaongea na nani basi usingeleta hizo takwimu zako.!

Teh teh teh..!
.
Unataka tukujue wewe ni nani ili iweje? wewe si mbumbumbu mmojawapo kati ya wengi wa Manji tu. Kama unataka tufahamiane usihofu njoo uwanja wa Taifa nitakuelekeza kiti ambacho huwa nakaa. Unajificha mbele ya keyboard hapo kutishia watu shauri yako.
 
Kuku mgeni nenda nae taratibu mkuu.
 
Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi
Migongo wazi kimyaaaaa
Lile bao lake hakunaga, nakumbuka niliwahi mpiga demu wangu baada ya ugwadu wa miezi 5 ya kufungiwa shule Tosa Boys S.S. Huyo demu hajanisahau mpaka leo tunawasiliana ijapokuwa sasa ameolewa.
 
Mvua ikinyesha tuwatoboe hata kwenye kajua kakali hivi pia tuwafarue jaaaamaaaaniiii....😱😕

Inaonekana unamajonzi na timu zako zote...!

Simba haina dalili za kuchukua ubingwa wala Man United hawana hata matarajio ya kuota ndoto za ubingwa....

Umejaa shidaaaa.!!!!
Hebu tulushiemo ka picha kako huenda umekondeana kama mgonjwa wa Ukimwi.!!
 
Hahahaha unachekesha kweli... Na wewe pia umekuwa mchambuzi wa soka...!

Naamini tungelikuwa na watu watatu tu kama wewe basi Taifa Stars ingelikuwa inashiliki Kombe la dunia.

Tatizo wabongo mmegeuka wataalamu wa soka.. Kumbe hamna lolote.!

Nenda basi mwenzetu ukagombee nafasi ya kutoa ushauri Taifa Stars.. Labda utawasaidia.

Dah wabongo nomaaa!!!!!!
Naona sasa umeshalegea kwa bao la Okwi A.K.A KABAKA MUTESA wa karne ya 21, unataka tusahau tulivyokufanya jana kwa kutuletea mambo ya Taifa Stars maboresho
 
Unataka tukujue wewe ni nani ili iweje? wewe si mbumbumbu mmojawapo kati ya wengi wa Manji tu. Kama unataka tufahamiane usihofu njoo uwanja wa Taifa nitakuelekeza kiti ambacho huwa nakaa. Unajificha mbele ya keyboard hapo kutishia watu shauri yako.

Mmebaki kushangilia point tatu mithili YA UBINGWA..!!!

Hahaha amna jipya nyinyi...!

Points 3 kwetu si lolote.... UBINGWA ndio mpango mzima.
 
Inaonekana unamajonzi na timu zako zote...!

Simba haina dalili za kuchukua ubingwa wala Man United hawana hata matarajio ya kuota ndoto za ubingwa....

Umejaa shidaaaa.!!!!
Hebu tulushiemo ka picha kako huenda umekondeana kama mgonjwa wa Ukimwi.!!
Unakimbia bao la Okwiiiiiiiiiiiiiii....hatutaki mambo ya Man U hapa. Hapa ni kitombo cha Okwi kwa kwenda mbele....
 
Naona sasa umeshalegea kwa bao la Okwi A.K.A KABAKA MUTESA wa karne ya 21, unataka tusahau tulivyokufanya jana kwa kutuletea mambo ya Taifa Stars maboresho

Ni lazima usisahau...!
Huo si ndio ubigwa wenu..

Ngoja sasa usome namba pale tunapobeba ile wanaita THE GRAND CHAMPIONSHIP.
 
Du watu mnachonga kama ndo mmeingia sayari ya mars,
hongera watani.
 
Mmebaki kushangilia point tatu mithili YA UBINGWA..!!!

Hahaha amna jipya nyinyi...!

Points 3 kwetu si lolote.... UBINGWA ndio mpango mzima.
Yanga baiskeli ya miti tu, juzi mlijisifu eti hamshikiki na timu yoyote kwa pengo la point 4 leo hii Azam anawapumulia kisogoni, wakati Baba lao Simba lililojaa mifwedha ya Mtani Jembe, Mapinduzio kapu linakuja kuchukua kombe lake. Makombe yote TZ ni mali ya Simba mwaka 2014/2015 kuanzia Mtani Jembe, Mapinduzi Cup mpaka Ligi Kuu na kuendelea.
 
ebu check msimamo wa ligi kuu tanzania bara...!

Kabla hujaamua kuchagua wa kumpa pole kati ya mgonjwa wa ukimwi na cancer....!

.

tehe tehe tehe, umeamia kwenye msimamo wa ligi na sio ushindi, ingekua ivo si mgeomba mechi ifutwe kwakua mnaongoza ligi
 
Unakimbia bao la Okwiiiiiiiiiiiiiii....hatutaki mambo ya Man U hapa. Hapa ni kitombo cha Okwi kwa kwenda mbele....

Yanga ni mwendo mdundo... hakuna kuangalia nyuma..!

Natamani sana kunyanyua Kombe la UBINGWA...

Can't wait that Day!
 
Ni lazima usisahau...!
Huo si ndio ubigwa wenu..

Ngoja sasa usome namba pale tunapobeba ile wanaita THE GRAND CHAMPIONSHIP.

Hivi unakumbuka mara ya mwisho kushangilia ushindi dhidi ya mnyama?
 
JANE MURO hadi sasa hivi hajarudi kwakwe na TRAFIK wanamtafuta kweli.
 
Inaonekana unamajonzi na timu zako zote...!

Simba haina dalili za kuchukua ubingwa wala Man United hawana hata matarajio ya kuota ndoto za ubingwa....

Umejaa shidaaaa.!!!!
Hebu tulushiemo ka picha kako huenda umekondeana kama mgonjwa wa Ukimwi.!!

Mi maneno sijui anajua jerry Muro, nachojua ni kulenga tobo na kuingiza bao kama okwi. Ugua pole, okwinism ni homa ambayo utaipata mara mbil au tatu kwa mwaka. Vumilia tu haina tiba wala kinga. JIKAZEEE
 
Hivi unakumbuka mara ya mwisho kushangilia ushindi dhidi ya mnyama?

Mimi Nakumbuka mara ya Mwisho KUNYANYUA NDOO YA UBINGWA wa ligi Kuu Tanzania..!

Kama unahitaji takwimu zaidi kuhusu timu ambazo zimefungwa na Yanga basi njoo Jangwani tukufungulie Database.
 
Du watu mnachonga kama ndo mmeingia sayari ya mars,
hongera watani.
Hivi unajua mwanaume anapomkojolea mwanamke bao la nguvu kama lile la Okwi anahisi kama yupo Mbingu ya 7, nadhani itakuwa ndiyo hiyo sayari ya Mars.
 
Nilidhani mtajihisi kama mko nafasi ya Kwanza...!

Basi Acha wanaume tuongoze ligi.!
 
Mi maneno sijui anajua jerry Muro, nachojua ni kulenga tobo na kuingiza bao kama okwi. Ugua pole, okwinism ni homa ambayo utaipata mara mbil au tatu kwa mwaka. Vumilia tu haina tiba wala kinga. JIKAZEEE

Duuh.... Shikamoo visagold.
Mkuu yaani hapo hujaongea kitu ukiongea si utaua mtu humu kama si kuzimia kama kawaida yao!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom