Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

hahahaha kanga moko fc...plujimu bora ungesepa zako tu wanakuhujumu wenzio
 
Mimi huwa sielewi ati, timu yenu nayo inacheza. Mmeikalia kooni Yanga mnaipenda kimoyomoyo eeh. Tumeshinda mfululizo, wachezaji wetu wamechoka, hali ya hewa. Si mbaya hawajatoka kapa, sasa tunauliza leo Mbeya City wametununua ama?
 
Huu mchezo wala hauitaji hasira
 
MMEANZA WAKATI MLISUKUMA GARI ALIPORUDI
Uko sahihi kama ukitumia ule msemo wa wengi wape,, Maana asilimia kubwa ya wadau wa mpira nchini akiwemo mnazi Simba Shaffih Dauda hawakufurahishwa na Kuondoka kwa Hans,, Mi ni kati ya wale wacheche wanaoamini kuwa Hans hana jipya zaidi ya aliyoyafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…