Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Nakubaliana na Chaneta FC kuwa Simba Anashinda DAR tu! Akienda Mikoani Anafungwa na Chaneta FC wataongoza wao ligi!!! Lakini Hebu Nisaidieni Wakuu Hii STANDT iliyofungwa Na Simba inapatikana Pale Ubungo??? au ipo sehemu gani hapa DAR?? kwasababu Simba anashinda Dar tu..
 
Wakuu zangu katika jina la Simba S.C ... Leo nilikua eneo korofi.
Kinachoniuma ni kua lile soka mithili ya Barcelona nimekosa kulishuhudia kwa Mara ya kwanza [emoji20] [emoji20] .. Ila vijana wa Mbeya City wamenipa burudani sana.

NB: Mikoani ni kugumu, ila si kwa Simba S.C.
 
Nitake radhi mkuu,mimi ni Yanga damu.
Shabiki la kutupwa sio wa matukio/msimu.
NAIPENDA YANGA
3bcd61ec73b4ffe84a3dbabf673485ab.jpg
pole sana
 
Wakuu zangu katika jina la Simba S.C ... Leo nilikua eneo korofi.
Kinachoniuma ni kua lile soka mithili ya Barcelona nimekosa kulishuhudia kwa Mara ya kwanza [emoji20] [emoji20] .. Ila vijana wa Mbeya City wamenipa burudani sana.

NB: Mikoani ni kugumu, ila si kwa Simba S.C.

Mkuu kama hujashuhudia soka la leo walilocheza vijana wa kati kati ya jiji yaani namaanisha msimbazi....basi umepitwa na burudani kubwa.....sana.....

Unapotazama mechi ya Simba ni kama kuitazama BARCELONA FC......

Yaani ni raha tuuuuu....
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] nakuambiga uniite ...

huniitiii!!!

Dah.. Nimejaribu kuangalia highlight ila kuna kitu naona kimemisi.
Kwa hii hali niliyona sidhani kama tena nitadiriki kua eneo korofi, Mnyama akiwa dimbani
 
Mimi huwa sielewi ati, timu yenu nayo inacheza. Mmeikalia kooni Yanga mnaipenda kimoyomoyo eeh. Tumeshinda mfululizo, wachezaji wetu wamechoka, hali ya hewa. Si mbaya hawajatoka kapa, sasa tunauliza leo Mbeya City wametununua ama?
Mbeya City wamegoma kuuza, au day menu halikutosha Leo.
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] nakuambiga uniite ...

huniitiii!!!
[emoji2] [emoji2] .. Mi mwenyewe ndo naingia mda huu.. Nilikua eneo korofi.. Network shida, ila usijali next time tutakua pamoja.. Kuanzia dk 1 hadi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom