Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Mimi huwa sielewi ati, timu yenu nayo inacheza. Mmeikalia kooni Yanga mnaipenda kimoyomoyo eeh. Tumeshinda mfululizo, wachezaji wetu wamechoka, hali ya hewa. Si mbaya hawajatoka kapa, sasa tunauliza leo Mbeya City wametununua ama?

Bantu lady. Rufaa yenu imekubaliwa matokeo yamefutwa na mechi itarudiwa jpili kesho tukutane wanavyura wote kimara kuipokea timu yetu, Daima mbele nyuma mwiko
 
Kwa mtazamo wangu, mpira unaochezwa na timu za ligi yetu VPL almost ni mpira unaofanana na hii inatokana na mazingira yaliyopo mathalani viwanja vyetu, uwezo wa kifedha, misingi, malezi na historia ya wachezaji kimpira ikiwemo makocha wetu. Sasa ikitokea eti timu inafungwa goli 6, mara 4, na wakati huo timu hiyo inafungwa na timu zenye mzingira hayo. Kwa muonekano huo kuna walakini wa ushindi wake. Kwa maana nyingine mchezo wa timu hiyo huchezwa nje ya uwanja kabla ya kuingia uwanjani.
 
Lazima timu zetu zibadilike kifikra, kimfumo ili kuleta ushindani wa kweli, sio lazima kulazimisha ushindi fake, eti kuonyesha mashabiki na wapenzi timu hizi zinazojiita kubwa kuwa ni timu bora. Cheza, shinda au fungwa kihalali. Hilo ndilo soka la wenzetu Ulaya na kwengineko.
 
unamaanisha ubora wa simba ni sawa na majimaji..au hukutumia akili katika post yako!?
 
Kwa mtazamo wangu, mpira unaochezwa na timu za ligi yetu VPL almost ni mpira unaofanana na hii inatokana na mazingira yaliyopo mathalani viwanja vyetu, uwezo wa kifedha, misingi, malezi na historia ya wachezaji kimpira ikiwemo makocha wetu. Sasa ikitokea eti timu inafungwa goli 6, mara 4, na wakati huo timu hiyo inafungwa na timu zenye mzingira hayo. Kwa muonekano huo kuna walakini wa ushindi wake. Kwa maana nyingine mchezo wa timu hiyo huchezwa nje ya uwanja kabla ya kuingia uwanjani.
NOTE: Mpira unaotandazwa na Simba S.C si wa nchi hii.. Simba hii ilitakiwa iwe La Liga, na mafundi wenzao kama Barca na Real Madrid.
 
Lazima timu zetu zibadilike kifikra, kimfumo ili kuleta ushindani wa kweli, sio lazima kulazimisha ushindi fake, eti kuonyesha mashabiki na wapenzi timu hizi zinazojiita kubwa kuwa ni timu bora. Cheza, shinda au fungwa kihalali. Hilo ndilo soka la wenzetu Ulaya na kwengineko.
Kama Simba tunavyofanya
 
Mimi ni Yanga ila mwaka huu timu yetu ni kimeo hakuna kombe tutapata labda tujipange next year.
 
Haha
wp_ss_20161103_0003.png
 
Back
Top Bottom