Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamuombe Radhi Akilimali .Rest In Peace Yanga.....
Wamuombe Radhi Akilimali .
Haha.. Mkuu vuta subira kidogo.Mkuu Sembo naomba analysis mpaka hapa tulipofika
pole sanaNitake radhi mkuu,mimi ni Yanga damu.
Shabiki la kutupwa sio wa matukio/msimu.
NAIPENDA YANGA![]()
Wakuu zangu katika jina la Simba S.C ... Leo nilikua eneo korofi.
Kinachoniuma ni kua lile soka mithili ya Barcelona nimekosa kulishuhudia kwa Mara ya kwanza [emoji20] [emoji20] .. Ila vijana wa Mbeya City wamenipa burudani sana.
NB: Mikoani ni kugumu, ila si kwa Simba S.C.
Simba hii bwana, is moving away from the rest of the teams. Inaongoza mechi za ugeniini (away) mechi 6 points 14, home mechi 7 points 21. Overall mechi 13 points 35. What a performance, Masufuria mkodisho (hand-footballers) wanawewesekaHaha.. Mkuu vuta subira kidogo.
Hahahahaaaaaaaaaaaaa!!!! Lakujitakia halina majuto mkuu!!!!!Tatizo lao Chaneta FC walikataa Kuwapa Pesa Mbeya FC za Kununuwa Magoli wakiamini Kuwa Wakati Simba SC kawafunga kiulaini, na wao Watawafunga! Hatimae Kumbe Wametiwa Middle Finger...
😀😀😀😀😀
Wakuu zangu katika jina la Simba S.C ... Leo nilikua eneo korofi.
Kinachoniuma ni kua lile soka mithili ya Barcelona nimekosa kulishuhudia kwa Mara ya kwanza [emoji20] [emoji20] .. Ila vijana wa Mbeya City wamenipa burudani sana.
NB: Mikoani ni kugumu, ila si kwa Simba S.C.
Tatizo lao Chaneta FC walikataa Kuwapa Pesa Mbeya FC za Kununuwa Magoli wakiamini Kuwa Wakati Simba SC kawafunga kiulaini, na wao Watawafunga! Hatimae Kumbe Wametiwa Middle Finger...
😀😀😀😀😀
Dah.. Nimejaribu kuangalia highlight ila kuna kitu naona kimemisi.Mkuu kama hujashuhudia soka la leo walilocheza vijana wa kati kati ya jiji yaani namaanisha msimbazi....basi umepitwa na burudani kubwa.....sana.....
Unapotazama mechi ya Simba ni kama kuitazama BARCELONA FC......
Yaani ni raha tuuuuu....
dear...[emoji13] [emoji13] [emoji13] pole...Wewe nae unaharibu convo sasa,kwaheri.
Jioni njema.
Yaliyojir uwanya wa sokoine
Mbeya City wamegoma kuuza, au day menu halikutosha Leo.Mimi huwa sielewi ati, timu yenu nayo inacheza. Mmeikalia kooni Yanga mnaipenda kimoyomoyo eeh. Tumeshinda mfululizo, wachezaji wetu wamechoka, hali ya hewa. Si mbaya hawajatoka kapa, sasa tunauliza leo Mbeya City wametununua ama?
[emoji2] [emoji2] .. Mi mwenyewe ndo naingia mda huu.. Nilikua eneo korofi.. Network shida, ila usijali next time tutakua pamoja.. Kuanzia dk 1 hadi ya mwisho.[emoji57] [emoji57] [emoji57] nakuambiga uniite ...
huniitiii!!!