Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Dk 88, mvua imeanza kunyesha uwanjani hapa na mashabiki wengi wanakimbia kutoka majukwaani
Dk 87, Angban yuko chini baada ya kuumia wakati akijaribu kuudaka mpira wakati wa shambulizi lililoelekezwa langoni mwake
 
DAKIKA 6 ZA NYONGEZA
Dk 89, Simba wanapata kona na inakwenda kuchongwa Bukungu, kipa Frank Muonge anajitahidi kudaka vizuri kabisa
SUB Dk 88, Ibrahim Ajibu anaingia kuchukua nafasi ya Mavugo
 
naona mikia inabebwa hapa stend ananyimwa penart ya wazi kabisa,hii sasa ni mbeleko fc

Wewe tatizo Una Makengeza Lakini Ungelikuwa Upo Sawa katika Kuona Basi Ungelimshukuru Refa Kwa Kutokumpiga Kadi Ya Njano Yule Mchezaji Wa Stand Kwa Kosa la Kujiangusha Kwa Makusudi ili amdanganye Refa...
 
-Mnyate anaachia shuti la chinichini hapa lakini ni goal kick
-Mpira unateleza na unaonekana kuwasumbua wachezaji wengi
-Simba wanaonekana kuosha kila mpira unaokwenda langoni mwao
 
Wewe tatizo Una Makengeza Lakini Ungelikuwa Upo Sawa katika Kuona Basi Ungelimshukuru Refa Kwa Kutokumpiga Kadi Ya Njano Yule Mchezaji Wa Stand Kwa Kosa la Kujiangusha Kwa Makusudi ili amdanganye Refa...
ACHANA NAYE HUYO KESHADATA
 
Yaliyojir uwanya wa sokoine
 

Attachments

  • FB_IMG_14780996601031797.jpg
    FB_IMG_14780996601031797.jpg
    27.3 KB · Views: 20
Its official:Simba wanaondoka na points 6 shinyanga
 
Gap ndo lilishakuwa la point 8, duh! Hapa naona dalili za kocha kutimshwa tena.
 
hii ni aibu sana kwa soka la tanzania,timu inanyimwa penat ya wazi kabisa,simba hii kwa mwendo huu wa kubebwa mnatia aibu sana,mechi tatu zote simba amepewa penat 3
Ni kweli haujakosea

Ila isijekuwa 1/4
 
Stand Hiyo ishabomolewa vipande vipande Sasa Tuwasubiri Washabiki Wa Chaneta FC waje kulialia..
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom