Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2-1,Yanga akifungwaJaman yanga na mbeya city ngap ngap ...
naona mikia inabebwa hapa stend ananyimwa penart ya wazi kabisa,hii sasa ni mbeleko fc
Utasema yotenaona mikia inabebwa hapa stend ananyimwa penart ya wazi kabisa,hii sasa ni mbeleko fc
naona mikia inabebwa hapa stend ananyimwa penart ya wazi kabisa,hii sasa ni mbeleko fc
ACHANA NAYE HUYO KESHADATAWewe tatizo Una Makengeza Lakini Ungelikuwa Upo Sawa katika Kuona Basi Ungelimshukuru Refa Kwa Kutokumpiga Kadi Ya Njano Yule Mchezaji Wa Stand Kwa Kosa la Kujiangusha Kwa Makusudi ili amdanganye Refa...
hii ni aibu sana kwa soka la tanzania,timu inanyimwa penat ya wazi kabisa,simba hii kwa mwendo huu wa kubebwa mnatia aibu sana,mechi tatu zote simba amepewa penat 3Utasema yote
Ni kweli haujakoseahii ni aibu sana kwa soka la tanzania,timu inanyimwa penat ya wazi kabisa,simba hii kwa mwendo huu wa kubebwa mnatia aibu sana,mechi tatu zote simba amepewa penat 3