Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mkuu basi inatosha.....utawaua presha
Dah.. Nimejaribu kuangalia highlight ila kuna kitu naona kimemisi.
Kwa hii hali niliyona sidhani kama tena nitadiriki kua eneo korofi, Mnyama akiwa dimbani
Nadhani Manji Hatorudia Tena Kosa la leo... Ataandaa TigoPesa Mapema Kwenye Namba Za Wachezaji wa Timu watakayochezanayo Mechi inayofuata..
nimekusamehe...nguvu moja[emoji2] [emoji2] .. Mi mwenyewe ndo naingia mda huu.. Nilikua eneo korofi.. Network shida, ila usijali next time tutakua pamoja.. Kuanzia dk 1 hadi ya mwisho.
Shukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..nimekusamehe...nguvu moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]Shukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..
Huko Shinyanga.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 428357
Mbeya nako mambo yalikua hivi..
[emoji116] [emoji116]
View attachment 428359
Teh teh teh .....Shukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..
Huko Shinyanga.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 428357
Mbeya nako mambo yalikua hivi..
[emoji116] [emoji116]
View attachment 428359
Shukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..
Huko Shinyanga.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 428357
Mbeya nako mambo yalikua hivi..
[emoji116] [emoji116]
View attachment 428359
[emoji2] [emoji2] .. Simba S.C raha sana.Breeeeeeeaking! Nimepata tetesi Kuwa Benchi Zima La Ufundi La Yeboyebo Na Afisa Habari Wao Wamewajibishwa Kinidhamu na Manji kwa Kushindwa Kujibu Tuhuma Zilizowakabili Za Kuwa Kwanini Wamechelewesha Kumkabidhi Manji Namba Za Tigo-Pesa na M-Pesa za Kipa na Mabeki Wa Mbeya City....
Wait! more to come.....
Kwahali hii Nategemea Kuanzia Januari Yeboyebo Wataukimbia Uzi wowote Unaowabusu Simba..
STAND UTD NA MBEYA CITY wanagombana kila mtu anasema yanga ni SALOME wake ??????????????Mbeleko fc wanasidiwa hapa. Zilikuwa mbili.
Vyura mkibigwa mnakimbilia kwa Azam kwani nyi mmeachwa pointi ngapi? Na leo wauza mchele wamewa man Fongo huku si tukichana misambwanda ya wadogo zenu Toto AfricanMaskini azam kaachwa point 15, duh!
Hapa lazima watishie kukupeleka mahakamani...Breeeeeeeaking! Nimepata tetesi Kuwa Benchi Zima La Ufundi La Yeboyebo Na Afisa Habari Wao Wamewajibishwa Kinidhamu na Manji kwa Kushindwa Kujibu Tuhuma Zilizowakabili Za Kuwa Kwanini Wamechelewesha Kumkabidhi Manji Namba Za Tigo-Pesa na M-Pesa za Kipa na Mabeki Wa Mbeya City....
Wait! more to come.....
yaani huyu ataomba tupoteze game tano na atufunge na asifungwe...uzuri kadri unavyoenda mbele unapunguzaMaskini azam kaachwa point 15, duh!
Nenda kasome comments zangu na uzi zangu za toka mwaka majuzi kisha rudi hapa.Vyura mkibigwa mnakimbilia kwa Azam kwani nyi mmeachwa pointi ngapi? Na leo wauza mchele wamewa man Fongo huku si tukichana misambwanda ya wadogo zenu Toto African