Mwaka huu wasahau kabisaaBao moja LA nguruwe watoto 10 , poleni yanga kutetea ubingwa wenu kunategemea hadi Simba ajikwae asipojikwaa ndo mmeshindwa
Mimi huwa sielewi ati, timu yenu nayo inacheza. Mmeikalia kooni Yanga mnaipenda kimoyomoyo eeh. Tumeshinda mfululizo, wachezaji wetu wamechoka, hali ya hewa. Si mbaya hawajatoka kapa, sasa tunauliza leo Mbeya City wametununua ama?
Inasikitisha unaemwita dogo kumbe ni baba mzaziNenda kasome comments zangu na uzi zangu za toka mwaka majuzi kisha rudi hapa.
Dogo naona hujitambui.
Naomba namba yake huyo wa juu ili anisaidie kuhamia SimbaShukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..
Huko Shinyanga.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 428357
Mbeya nako mambo yalikua hivi..
[emoji116] [emoji116]
View attachment 428359
unamaanisha ubora wa simba ni sawa na majimaji..au hukutumia akili katika post yako!?Kwa mtazamo wangu, mpira unaochezwa na timu za ligi yetu VPL almost ni mpira unaofanana na hii inatokana na mazingira yaliyopo mathalani viwanja vyetu, uwezo wa kifedha, misingi, malezi na historia ya wachezaji kimpira ikiwemo makocha wetu. Sasa ikitokea eti timu inafungwa goli 6, mara 4, na wakati huo timu hiyo inafungwa na timu zenye mzingira hayo. Kwa muonekano huo kuna walakini wa ushindi wake. Kwa maana nyingine mchezo wa timu hiyo huchezwa nje ya uwanja kabla ya kuingia uwanjani.
Kwann Mkuu usiendelee na huyo wa chini? [emoji2] [emoji2]Naomba namba yake huyo wa juu ili anisaidie kuhamia Simba
Swali la kujiuliza.. Anaanzaje huyu Mnyama kujikwaa?Bao moja LA nguruwe watoto 10 , poleni yanga kutetea ubingwa wenu kunategemea hadi Simba ajikwae asipojikwaa ndo mmeshindwa
NOTE: Mpira unaotandazwa na Simba S.C si wa nchi hii.. Simba hii ilitakiwa iwe La Liga, na mafundi wenzao kama Barca na Real Madrid.Kwa mtazamo wangu, mpira unaochezwa na timu za ligi yetu VPL almost ni mpira unaofanana na hii inatokana na mazingira yaliyopo mathalani viwanja vyetu, uwezo wa kifedha, misingi, malezi na historia ya wachezaji kimpira ikiwemo makocha wetu. Sasa ikitokea eti timu inafungwa goli 6, mara 4, na wakati huo timu hiyo inafungwa na timu zenye mzingira hayo. Kwa muonekano huo kuna walakini wa ushindi wake. Kwa maana nyingine mchezo wa timu hiyo huchezwa nje ya uwanja kabla ya kuingia uwanjani.
Kama Simba tunavyofanyaLazima timu zetu zibadilike kifikra, kimfumo ili kuleta ushindani wa kweli, sio lazima kulazimisha ushindi fake, eti kuonyesha mashabiki na wapenzi timu hizi zinazojiita kubwa kuwa ni timu bora. Cheza, shinda au fungwa kihalali. Hilo ndilo soka la wenzetu Ulaya na kwengineko.
Wa juu ananishawishi kabisa,inaonekana mambo mazuri yanapatikana msimbaziKwann Mkuu usiendelee na huyo wa chini? [emoji2] [emoji2]
Kwikwikwi..Shukrani.. Ila hali ya hewa katika viwanja hivi viwili ilikua hivi..
Huko Shinyanga.. [emoji116] [emoji116]
View attachment 428357
Mbeya nako mambo yalikua hivi..
[emoji116] [emoji116]
View attachment 428359
Khaaa!!!STAND UTD NA MBEYA CITY wanagombana kila mtu anasema yanga ni SALOME wake ??????????????