Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
TANGAZO....TANGAZO...... TANGAZO NATAFUTA WATU "Wanaokimbiza mwiz kimyakimya"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ha ha haaaa eti CHANETA FC. Mkuu umenichekesha sana....Tatizo lao Chaneta FC walikataa Kuwapa Pesa Mbeya FC za Kununuwa Magoli wakiamini Kuwa Wakati Simba SC kawafunga kiulaini, na wao Watawafunga! Hatimae Kumbe Wametiwa Middle Finger...
😀😀😀😀😀
Ni mnyama utamuweza? waulize stand vizuriTANGAZO TANGAZO TANGAZO NATAFUTA WATU "Wanaokimbiza mwiz kimyakimya"
Chaneta fcMbeleko fc, Geza ulole fc, Mkodisho fc ,Miamala fc , Ndala fc , Yebo Yebo fc , hahaha ongezeeni na nyie
Masufuria fc,rejea Mzee akilimali alisema yanga haiwei kodishwa ka masufuria ya shuguliMbeleko fc, Geza ulole fc, Mkodisho fc ,Miamala fc , Ndala fc , Yebo Yebo fc , hahaha ongezeeni na nyie
Mbeleko fc, Geza ulole fc, Mkodisho fc ,Miamala fc , Ndala fc , Yebo Yebo fc , hahaha ongezeeni na nyie
Ahhaa maturubai fc, Kanga moko fc, salome fcMasufuria fc,rejea Mzee akilimali alisema yanga haiwei kodishwa ka masufuria ya shuguli
Nyeto fcChaneta fc
Kwako wewe neno Janga ni neno la kiingereza!Janga fc
Kwani wewe umeonaje hapo?Kwako wewe neno Janga ni neno la kiingereza!