Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

TANGAZO....TANGAZO...... TANGAZO NATAFUTA WATU "Wanaokimbiza mwiz kimyakimya"

Hawawezi Kujitokeza Coz huu Uzi Wanauona Kama Kituo Cha Polisi.....!
Walizani Wanakimbiza Mwizi Kimyakimya Kumbe Mwizi Ameshawapoteza! Hata Wanakuja Kushituka Kumbe Wanamkimbiza Mkuu Wa Polisi! Wamkamate Wapi!!!!!......
Huyu Ndiye Simba! Kila unapotaka Kumkaribia Ndiyo Unaikaribia Hatari yake...
 
14925312_922847854518663_1015566720908329052_n.jpg

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tatizo lao Chaneta FC walikataa Kuwapa Pesa Mbeya FC za Kununuwa Magoli wakiamini Kuwa Wakati Simba SC kawafunga kiulaini, na wao Watawafunga! Hatimae Kumbe Wametiwa Middle Finger...
😀😀😀😀😀
Ha ha haaaa eti CHANETA FC. Mkuu umenichekesha sana....
 
Mbeleko fc, Geza ulole fc, Mkodisho fc ,Miamala fc , Ndala fc , Yebo Yebo fc , hahaha ongezeeni na nyie
 
Janga fc
 

Attachments

  • IMG-20161105-WA0001.jpg
    IMG-20161105-WA0001.jpg
    25.4 KB · Views: 19
Back
Top Bottom