Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Dk 42, mwamuzi anasema lile ni bao lililofungwa na Kenny Ally dak ya 36, hivyo Mbeya City wanaongoza kwa mabao 2-0

Dk 41 sasa, bado mpira umesimama na wachezaji Mbeya City wamekwenda kuwapumzisha mashabiki wao
 
Kama Mbeya city wangembwela lingekuwa sio goli kwa sasa.... Safi sana Mbeya City....
 
nchi gani hiyo mechi inachezwa???
 
DAKIKA 4 ZA NYONGEZA
Dk 44, hakuna matumaini kama Yanga wanaweza kusawazisha dhidi ya Mbeya City kwa kuwa hakuna shambulizi kali
 
Nasikia Ndala FC wazee wa kukodishwa kimenuka cha 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…