Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

inaonekana mbeya city hawaongeki mana Yanga wamezoea ushindi wa rushwa hawanatofauti na chama kileeeee
 
Only in TZ. Refa anakubali goli then anakataa alafu anakubali tena.
Lazima refa na wasaidizi wake wajiridhishe kwanza.huwezi ukakubali goli wakati sio goli.au ukakataa goli ilhali no goli halali
 
MAPUMZIKO
GOOOOOOOO Ngoma anaunganisha krosi ya Msuva vizuri hapa na kuandika bao moja kwa Yanga

-KADI Mbuyu Twite analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ally Ramadhani
 
Back
Top Bottom