wamekubali ila wanacheza rafu vibaya na huyo captain wao Niyonzima ndio hakuna kitu anafanyia fujo hadi wachezaji wenzakeNimeona updates, vipi Yanga wamekubali?
[emoji23][emoji23][emoji23]Whaaaaat?
Tanzania...mkoa wa mbeyanchi gani hiyo mechi inachezwa???
mbeleko fc wanarudisha kagoli hapa
goli lenyewe wametafutiwa na refa Yanga leo hawana mpiraMhh, wakishaanza mambo ya kurudisha hapa sherehe itaharibika sasa.
Lazima refa na wasaidizi wake wajiridhishe kwanza.huwezi ukakubali goli wakati sio goli.au ukakataa goli ilhali no goli halaliOnly in TZ. Refa anakubali goli then anakataa alafu anakubali tena.
Duh,Yanga na wafanye kama Arsenal jana.HT:
Mbeya city 2-1 yanga
Duh,Yanga na wafanye kama Arsenal jana.
Hakuna namna...
Kufungwa na Mbeya City sijui tutaweka wapi nyuso zetu [emoji17]