Palestinanchi gani hiyo mechi inachezwa???
Nitake radhi mkuu,mimi ni Yanga damu.sijaamini kabisa kama na wewe unaweza kushabikia vyura fc, dah.
kichuya anapiga penati hapa
Nitake radhi mkuu,mimi ni Yanga damu.
Shabiki la kutupwa sio wa matukio/msimu.
NAIPENDA YANGA[/COLOR]