Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

SUB Dk 75 Kichuya anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Jamal Simba MnyateDk 67,
 
Eti ukiona simba inaongoza ligi jua yanga wako nje ya nchi[emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]
 
Hans uwezo ameshafika kikomo cha uwezo wake...Leta huyo mzambia ligi ichangamke
 
Dk 81, Mavugo anapokeza nafasi mujarab ya kufunga kwa kuwa kipa wa Stand alikuwa ametoka langoni, likiwa wazi MAvugo amepiga nje
SUB 80, Moussa Ndusha ambaye ITC yake imekuja, anaingia kuchukua nafasi ya Kazimoto
 
Dk 82, kipa Muhonge anatoka na kumuwahi Mavugo aliyekuwa anakaribia kufunga. Lakini anampiga na mguu tumboni wakati akiokoa
 
Dk 81, Mavugo anapokeza nafasi mujarab ya kufunga kwa kuwa kipa wa Stand alikuwa ametoka langoni, likiwa wazi MAvugo amepiga nje
SUB 80, Moussa Ndusha ambaye ITC yake imekuja, anaingia kuchukua nafasi ya Kazimoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo ndo napendaga Kiswahili eti nafasi mujarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…