Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

SUB Dk 75 Kichuya anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Jamal Simba MnyateDk 67,
 
kwa staili hii yanga mtasubiri sana kombe

14938101_2109449955947149_4871880924895861548_n.jpg

Salome wa Mbeya City hao!
 
Chaneta FC huwa wana Nyimbo Yao hii → ""Simba Baiskeli Ya Miti!! Nyie Ongozeni Lakini Mwisho Wa Msimu Yanga Wenye Ligi Timu Ya Wananchi Ndiyo Bingwa..""
Ikiwa Kuna Mshabiki Wa Chaneta FC anaamini Kuwa Timu Yao itachukua Ubingwa! Basi huyo ni kati ya wale ¼...
Eti ukiona simba inaongoza ligi jua yanga wako nje ya nchi[emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85]
 
Hans uwezo ameshafika kikomo cha uwezo wake...Leta huyo mzambia ligi ichangamke
 
Dk 81, Mavugo anapokeza nafasi mujarab ya kufunga kwa kuwa kipa wa Stand alikuwa ametoka langoni, likiwa wazi MAvugo amepiga nje
SUB 80, Moussa Ndusha ambaye ITC yake imekuja, anaingia kuchukua nafasi ya Kazimoto
 
Dk 82, kipa Muhonge anatoka na kumuwahi Mavugo aliyekuwa anakaribia kufunga. Lakini anampiga na mguu tumboni wakati akiokoa
 
Dk 81, Mavugo anapokeza nafasi mujarab ya kufunga kwa kuwa kipa wa Stand alikuwa ametoka langoni, likiwa wazi MAvugo amepiga nje
SUB 80, Moussa Ndusha ambaye ITC yake imekuja, anaingia kuchukua nafasi ya Kazimoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo ndo napendaga Kiswahili eti nafasi mujarab
 
Back
Top Bottom