Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Pole ndala FC..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,Yanga na wafanye kama Arsenal jana.
Hakuna namna...
Kufungwa na Mbeya City sijui tutaweka wapi nyuso zetu [emoji17]
Wamelala tayari mkuu 2-1Natamani kusikia wamelala chaneta fc
Tulia wakwetu jirani kapakatwaMoira umekwishaaaaaa Yanga yalala kwa 2,Haaaaaa mbeleko imekatikaaaaaaaa
hahahahahahMhh, wakishaanza mambo ya kurudisha hapa sherehe itaharibika sasa.
Ndo hivo tena, japo jana umefurahi hahahaDuh,Yanga na wafanye kama Arsenal jana.
Hakuna namna...
Kufungwa na Mbeya City sijui tutaweka wapi nyuso zetu [emoji17]
Yupo na Toto, mambo magumu dk 73 bila bilaAzam wako nani?
kwa staili hii yanga mtasubiri sana kombe
![]()