Ligi Kuu Bara: Toto Africa vs Yanga Africans

Hapana mkuu juzi yalikuwa ni maagizo toka ngazi za juu( mikia )maana coastal ni kama branch yao vile.
 
Nipe matokeo yenu ya mikia aka mlàngo wa 8 au fungu lakukosa dhidi ya azam kesho!!
 
Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.

Ova
Mkuu Mdakuzi hizo mechi zinauzwa wapi ambako Simba hawakujui mpaka wasinunue!!!!! Basi mkuu kama kuna refariii anauzwa huko kwenu nicheck Pm ili nikutumie Boom uninunulie refarii mmoja.
 
Aibu kubwa kwa Hans Pope,yeye ndio alipokea pesa tulivyonunua game za Simba(Wamchangani ) tukawafunga mechi zote mbili
 
Mtaelewa tu. Hii ndo Young Africans

#HuuMchezoHauhitajiHasira
8d9aa01e7d8f9a21194fef5d59fe3be6.jpg
 
Mkuu Mdakuzi hizo mechi zinauzwa wapi ambako Simba hawakujui mpaka wasinunue!!!!! Basi mkuu kama kuna refariii anauzwa huko kwenu nicheck Pm ili nikutumie Boom uninunulie refarii mmoja.

Simba SC iliyomtoa Zamaleki kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kuipiga bao kwenye ardhi ya nchi yao, halafu ije kununua mechi za ligi ya ndani?!
Itakuwa kashfa kubwa sana na Itaharibu sana CV ya Simba ambayo imecheza fainali ya CAF. Hata iweje Simba haiwezi kununua mechi, CV inaisuta.
Haya mambo tumewaachia wanaohangaika kuifikia CV yetu ambao ni Yanga na Azam.

Ova
 
Aibu kubwa kwa Hans Pope,yeye ndio alipokea pesa tulivyonunua game za Simba(Wamchangani ) tukawafunga mechi zote mbili

Hapana hakupokea Hans Poppe, ila walipokea Kessy na Banda pamoja na mwamuzi.

Ova
 
Nimeona JF TYCOON a.k.a The boss Maxence Melo amegonga like hapo juu tunaomba kesho pia ugonge like kwa wanamsimbazi.
Mkitaka like kesho onyesheni uzalendo, acheni kukimbia timu yenu. Muda ukifika fungueni uzi na mlete update zilizopangiliwa ki proffesional kama hapo juu.
 
Hapana hakupokea Hans Poppe, ila walipokea Kessy na Banda pamoja na mwamuzi.

Ova

Ile mechi ambayo Tambwe na Busungu walifunga,nani alipokea mzigo ?

Na juzi game na Toto nani alipokea mzigo ?
 
Simba SC iliyomtoa Zamaleki kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kuipiga bao kwenye ardhi ya nchi yao, halafu ije kununua mechi za ligi ya ndani?!
Itakuwa kashfa kubwa sana na Itaharibu sana CV ya Simba ambayo imecheza fainali ya CAF. Hata iweje Simba haiwezi kununua mechi, CV inaisuta.
Haya mambo tumewaachia wanaohangaika kuifikia CV yetu ambao ni Yanga na Azam.

Ova

Endelea kuota,timu yako ya sasa Simba inafungwa na Toto,Ndanda utapata wapi nafasi hata ya kucheza na hao Zamalek ?
 
Back
Top Bottom