Ligi Kuu Bara: Toto Africa vs Yanga Africans

Ligi Kuu Bara: Toto Africa vs Yanga Africans

Endelea kuota,timu yako ya sasa Simba inafungwa na Toto,Ndanda utapata wapi nafasi hata ya kucheza na hao Zamalek ?

Badala ya kuwakasirikia viongozi wako kwa kununua mechi, nashangaa unanikasirikia mimi mkuu.

Ova
 
Badala ya kuwakasirikia viongozi wako kwa kununua mechi, nashangaa unanikasirikia mimi mkuu.

Ova

Pole sana ,mrudisheni Mzee Dalali kina Hans Pope,Kaburu wamewafanya mmeshazoea kuwa wasindikizaji.Tutaendelea kuwafunga now mpinzani wetu amekuwa Azam

Nakukumbusha huu ni msimu wa 4 mnakuwa wasindikizaji
 
K
Badala ya kuwakasirikia viongozi wako kwa kununua mechi, nashangaa unanikasirikia mimi mkuu.

Ova
kwa hiyo na hizo dabi mbili tulizokufunga tulinunua?acha kuchambua mpira huku Una chuki,#huu mchezo hautaki hasira#
 
Hongereni vyura f.c.
Leo tunapiga MTU Na kuwanyemelea kwa mbaaaali.........kuweka matumaini ya ubingwa hai....😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio faraja pekee mliyobaki nao,wala sikushangai.
Ila Ina ukweli ndani yake mtani...!!!
 
Ila Ina ukweli ndani yake mtani...!!!
Hapana,sio kwa game ya jana jamani!
Acheni unafiki!
Game ilikuwa ngumu,roho ilikuwa juujuu dakika zote 90.
Na kiukweli Yanga kwa mechi hizi 3 sio ile iliyocheza na Waarabu,maana vijana walitukamia sana.
Na hata magoli yetu yalikuwa ya kubahatisha tu,sio yale ya kiufundi.
 
Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.

Ova
Na nyie nunueni basi japo mshiriki mashindano ya Kimataifa mwakani...Muondokane na kadhia ya kuitwa 'wa mchangani' ama 'wa matopeni'...

Losers!......
 
Hapana,sio kwa game ya jana jamani!
Acheni unafiki!
Game ilikuwa ngumu,roho ilikuwa juujuu dakika zote 90.
Na kiukweli Yanga kwa mechi hizi 3 sio ile iliyocheza na Waarabu,maana vijana walitukamia sana.
Na hata magoli yetu yalikuwa ya kubahatisha tu,sio yale ya kiufundi.
Hahahaah mtani sikuangalia mechi ya jana, comment yangu imekaa kishabiki zaidi.!
 
Hahahaah mtani sikuangalia mechi ya jana, comment yangu imekaa kishabiki zaidi.!
Ukweli wako umekuweka huru,lakini laiti kama ungeangalia.....
Ungeamini maneno yangu.
Haya....nawe leo zamu yako.
Sadly nitakuwa busy hivyo nitaikosa hii game,niliipania sana niicheki live.
 
Ukweli wako umekuweka huru,lakini laiti kama ungeangalia.....
Ungeamini maneno yangu.
Haya....nawe leo zamu yako.
Sadly nitakuwa busy hivyo nitaikosa hii game,niliipania sana niicheki live.
Utapata mrejesho hapa.!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio faraja pekee mliyobaki nao,wala sikushangai.

Ha ha haaa! Faraja nyingine ni wewe mpenzi wangu. Yaani kila nikijua upo, hata tufungweje moyo unapoa.

Ova
 
IMG-20160507-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom