permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Siku hizi wala hampati shida wenyewe, mnajinunulia tu mechi na marefa mchezo umekwisha. Yanga bwana.
Ova
Kama wanazikana vile!Coastal naye kapigwa na African Sports pungufu. Tunasubiri waseme refa kawaua!
uliucheki mpira?aibu. kila mtu alikua anajua matokeo
Mbona ya kesho yapo wazi. Azam 3 Simba 0 !aibu. kila mtu alikua anajua matokeo
Mkuu Mdakuzi hizo mechi zinauzwa wapi ambako Simba hawakujui mpaka wasinunue!!!!! Basi mkuu kama kuna refariii anauzwa huko kwenu nicheck Pm ili nikutumie Boom uninunulie refarii mmoja.Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.

Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.
Ova
Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.
Ova
Hizo mechi zinauzwa soko gani?
Mtaelewa tu. Hii ndo Young Africans
#HuuMchezoHauhitajiHasira
Mkuu Mdakuzi hizo mechi zinauzwa wapi ambako Simba hawakujui mpaka wasinunue!!!!! Basi mkuu kama kuna refariii anauzwa huko kwenu nicheck Pm ili nikutumie Boom uninunulie refarii mmoja.
Aibu kubwa kwa Hans Pope,yeye ndio alipokea pesa tulivyonunua game za Simba(Wamchangani ) tukawafunga mechi zote mbili
Mkitaka like kesho onyesheni uzalendo, acheni kukimbia timu yenu. Muda ukifika fungueni uzi na mlete update zilizopangiliwa ki proffesional kama hapo juu.Nimeona JF TYCOON a.k.a The boss Maxence Melo amegonga like hapo juu tunaomba kesho pia ugonge like kwa wanamsimbazi.
Hapana hakupokea Hans Poppe, ila walipokea Kessy na Banda pamoja na mwamuzi.
Ova
Simba SC iliyomtoa Zamaleki kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kuipiga bao kwenye ardhi ya nchi yao, halafu ije kununua mechi za ligi ya ndani?!
Itakuwa kashfa kubwa sana na Itaharibu sana CV ya Simba ambayo imecheza fainali ya CAF. Hata iweje Simba haiwezi kununua mechi, CV inaisuta.
Haya mambo tumewaachia wanaohangaika kuifikia CV yetu ambao ni Yanga na Azam.
Ova