Endelea kuota,timu yako ya sasa Simba inafungwa na Toto,Ndanda utapata wapi nafasi hata ya kucheza na hao Zamalek ?
Badala ya kuwakasirikia viongozi wako kwa kununua mechi, nashangaa unanikasirikia mimi mkuu.
Ova
kwa hiyo na hizo dabi mbili tulizokufunga tulinunua?acha kuchambua mpira huku Una chuki,#huu mchezo hautaki hasira#Badala ya kuwakasirikia viongozi wako kwa kununua mechi, nashangaa unanikasirikia mimi mkuu.
Ova
Count me out.Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.
Ova
Ila Ina ukweli ndani yake mtani...!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio faraja pekee mliyobaki nao,wala sikushangai.
Hapana,sio kwa game ya jana jamani!Ila Ina ukweli ndani yake mtani...!!!
Na nyie nunueni basi japo mshiriki mashindano ya Kimataifa mwakani...Muondokane na kadhia ya kuitwa 'wa mchangani' ama 'wa matopeni'...Nchi nzima wanajua hii kitu, labda wewe ndio hujui kama yeboyebo wananunua mechi na marefa, wala hawataki tabu wenyewe.
Ova
Hahahaah mtani sikuangalia mechi ya jana, comment yangu imekaa kishabiki zaidi.!Hapana,sio kwa game ya jana jamani!
Acheni unafiki!
Game ilikuwa ngumu,roho ilikuwa juujuu dakika zote 90.
Na kiukweli Yanga kwa mechi hizi 3 sio ile iliyocheza na Waarabu,maana vijana walitukamia sana.
Na hata magoli yetu yalikuwa ya kubahatisha tu,sio yale ya kiufundi.
Ukweli wako umekuweka huru,lakini laiti kama ungeangalia.....Hahahaah mtani sikuangalia mechi ya jana, comment yangu imekaa kishabiki zaidi.!
Utapata mrejesho hapa.!Ukweli wako umekuweka huru,lakini laiti kama ungeangalia.....
Ungeamini maneno yangu.
Haya....nawe leo zamu yako.
Sadly nitakuwa busy hivyo nitaikosa hii game,niliipania sana niicheki live.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio faraja pekee mliyobaki nao,wala sikushangai.