Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Mwenye ushahidi wa Yanga kununua mechi apeleke mahakamani, kama hana ushahidi a-shut up! (Lowassa, 2015)
Ninao, huu hapa: 1. Wamerundika wachezaji hodari kutoka nje ya Tanzania, ambao hata wale wasiopata nafasi ya kucheza kila siku, wanapoipata huonyesha kiwango kinachowafanya wadau wawasahau hao waliozoeleka. 2. Na bado wanaendelea kuwaleta kama na kuliko hao kwa majaribio. 3. Wanakamia ligi, hawakamii timu; kila mechi kwao ni fainali. 4. Wamerundika wachezaji hodari kutoka ndani ya Tanzania, hata wale wasiopata namba siku zote huwa ni moto siku wanapoipata nafasi. 5. Wametafuta mwalimu si tu aliyehitimu ifaavyo, bali pia mwenye uzoefu wa Soka la Afrika na anayeujua mpira sio kinadharia tu lakini kwa kucheza hadi kiwango cha Kombe la Dunia. 6. Wameanza na kocha msaidizi mahiri kabisa nchini, ambaye naye anaujua mpira kwa nadharia na kwa kuucheza; ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea ndani ya ardhi ya Tanzania. 7. Msaidizi huyo alipopewa hatamu za Timu ya Taifa, ikaajiri mrithi ambaye ni wachache wataopinga kwamba yu miongoni mwa wakufunzi 5 bora nchini. 8. Wana walinda mlango bora kabisa nchini ambao kila mmoja amepata kulinda goli kwa angalau dakika 270 bila ya kuruhusu bao. 9. Wana walinzi bora kabisa ambao ndio wameruhusu mabao machache kabisa hadi sasa kwenye VPL. 10. Wana washambuliaji na viungo wengi timu yao inapocheza, wenye uwezo wa kufunga magoli; safu yao ya ushambuliaji ndiyo inayoongoza kwa kufunga magoli mengi hadi sasa kwenye VPL. Kiungo wao ndiye anayewaongoza viungo wengine kwenye VPL kwa kufunga magoli mengi 11. Na bado wameongeza kama hao kwenye Dirisha Dogo. 12. Asilimia kubwa ya mabao yao hupatikana katika mazingira magumu, na huwa yanaonekana kutafutwa kwa damu na jasho jingi kiasi kwamba wamekuwa dhaifu wa kushinda magoli rahisi ya penalti. 13. Maoni ya walimu wengi ambao timu zao zimefungwa na Timu hii huelekea kwenye ubovu wa viwanja, ukosefu wa bahati au wa umakini kwa wachezaji wao; ni mara chache ndio tunasikia waamuzi kulalamikiwa ingawa hilo haliko kwa Mechi zinazohusu Timu hii tu. Walimu hao hawajapata kusikika kulalamikia kuhongwa wachezaji wao ama waamuzi. 14. Licha ya ushabiki, ulimbukeni na ufyokonyoko wa wanahabari wetu na vyombo vyao, hatujapata kuwasikia wakiituhumu timu hii kwa kuhonga waamuzi ama timu pinzani. 15. Pomoja na yote hayo, bado timu yenyewe haijiamini; inajikuta ikiweka kambi karibu kabla ya kila mechi.
Sasa ni mahkama gani aminifu duniani itashindwa kuyathibitisha haya kuwa ni kuununua ushindi?
 
Message sent and delivered!
 
spot on....
 
Back
Top Bottom