Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Mtibwa Sugar 0 na Tanzania Prison 0
Kagera Sugar 0 na Africa Lyon 0
 
Oyooooooo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Safi sasa watoto wetu Toto African kwa kutufurahisha wakubwa zenu Young Africans
cc: GENTAMYCINE
 
Last edited by a moderator:
Niko kirumba sikuamini kama timu kubwa kama kushindwa kubadili jezi na kuja hivyo hivyo walivyolowana kipindi cha kwanza ndizo walizokuja nazo kipindi cha pili
Simba majanga matupu mkuu,wala usishangae
 
Hahahahahahhahaaaaa Ahsante Toto African SC yaani mmeonyesha Simba aka nyau ni sawa na nyie. Nimewapenda bureeee Yanga B.
simbaaa mupooooo!!!
 
Sijutii kuwa Yanga, nawapenda kissess 10,000 kwenu wachezaji wote wa Yanga. What a weekend!!!
Cheers nimetoka kwaajili yenu Yanga na Toto African woyooo woyoooo woyooooooo!!!

#teamyangaforever#
 
Back
Top Bottom