Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you bestieMkuu vipi katupia la tatu nini?
HahahahahaaaaaTambwe anaudhi sana
Simba majanga matupu mkuu,wala usishangaeNiko kirumba sikuamini kama timu kubwa kama kushindwa kubadili jezi na kuja hivyo hivyo walivyolowana kipindi cha kwanza ndizo walizokuja nazo kipindi cha pili
Oyooooooo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Safi sasa watoto wetu Toto African kwa kutufurahisa wakubwa zenu Young Africans
cc: GENTAMYCINE
Hahahahaaa lina hasiraje?Haaahaaahaa ilo kubwajinga litakuja na hasira za ajabu.