ikifungwa yanga biashara lakini akifungwa mikia matokeo ya kawaida.wanamikia hamkosi maneno.yanga akishinda amenunua mechi,akifungwa ameuza mechi.mbona hamkosi maneno tumewazoea.
Masau bwire come on
mpira umekwisha,Stand1 Ruvu 0.
Bantu lady tumefungwa huku,
uko wapi hujaonekana humu.
Dakika 35 Ndanda 1 0 Yanga.
Yanga bila kununuliwa mechi na Manji huwa ni timu ys kawaida sana. Mechi walizoshindwa kununua .. kama za Simba & Azam zote wamefungwa au kutoa droo
FULL TIME
Kagera 0 0 Tanzania prison,
Ndanda 1 0 Yanga.
Stend united 1 0 Ruvu shooting
Mbeya city 1 0 Polisi moro.
Mtibwa sugar 1 1 Coastal union.
Yanga bila kununuliwa mechi na Manji huwa ni timu ys kawaida sana. Mechi walizoshindwa kununua .. kama za Simba & Azam zote wamefungwa au kutoa droo
Tofauti na matarajio ya wengi ruvu shooting amebaki ligi kuu,imeshuka polisi moro na tz prisons.