ikifungwa yanga biashara lakini akifungwa mikia matokeo ya kawaida.wanamikia hamkosi maneno.yanga akishinda amenunua mechi,akifungwa ameuza mechi.mbona hamkosi maneno tumewazoea.
ndio maana Rage aliwaita mambumbumbu maana hawajitambui bora umeongea ..mkuu wasamehe tu maana hawajui walitendalo