Tunajua mlivyopata hilo kombe na sasa mnarudisha chenji...Mkuu tuna mil 600 za azam tv tumezisusa.....hao kuchere watatupa sh. Ngapi za kututosha..sema tumetoa zawadi kwa wanantwara kwakuwa ndo mkoa unaoongoza kwa kuwa na washabiki wengi wa yanga...98% ya wanamtwara ni mashabiki wa wakimataifa fc
Acha kupotosha:,Polisi Moro na Ruvu Shooting ndo zimeshuka daraja
Tutammisi Masao Bwire.
wacha umbumbumbu wako,yanga imechukua ubingwa mara25 kwa maana hiyo miaka yote manji alikuwa ananunua mechi?au ww ndio kati wale wanaotengeneza timu kwa miaka4?
Yeye pia ni msemaji wa JKT Ruvu hivyo kushuka kwa Ruvu Shooting hakutatufanya tummiss Massao Bwire. Mabao 5 aliyofungwa na Yanga hivi karibuni yamekuwa chachu kwa Ruvu Shooting kushuka daraja.
Buriani Ruvu Shooting na Polisi Morogoro.
siyapendi matimu ya majeshi
bora yashuke yote
Mechi ya yanga bhana.
Inaonyesha imeshuka Ruvu Shooting, Mgambo na Polisi
Tukishinda tumenunua..tukifungwa tumeuza,sijui tufanyeje
Msemaji wa JKT Ruvu ni mwanajeshi mmoja anaitwa Masanja.Yeye pia ni msemaji wa JKT Ruvu hivyo kushuka kwa Ruvu Shooting hakutatufanya tummiss Massao Bwire. Mabao 5 aliyofungwa na Yanga hivi karibuni yamekuwa chachu kwa Ruvu Shooting kushuka daraja.
Buriani Ruvu Shooting na Polisi Morogoro.
Yanga wanachofanya kwa sasa ni kuuza mechi tu zilizokuwa zimebaki. hata hivyo tusiwalaumu walitumia pesa nyinge sana kununua mechi that time. so now ngoja nao wali relaxe. team inatumia eti zaidi ya Mil 900 ili kushinda million 80( nipo tayari kurekebishwa) za bingwa wa ligi hiiBayernwaBamhitatuBayernwamepmmfulwtatummfululizo
Ruvu Shooting kocha wake ndio Fred Felix Minziro?
siyapendi matimu ya majeshi
bora yashuke yote