Ligi Kuu Bara: Yanayojiri viwanjani leo 9 Mei 2015

Ligi Kuu Bara: Yanayojiri viwanjani leo 9 Mei 2015

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Ndanda VS Yanga-Nangwanda Mtwara

Azam fc VS Mgambo JKT-Chamanzi Comprex

Simba VS JKT Ruvu-Uwanja wa Taifa

Standa United VS Ruvu shooting-Kambarage Shinyanga

Kagera suger vs Prisons

Game zote kuanza saa 10:00 Jioni.

Wadau tujuzane matokeo kokote viwanjan.

====================
====================


Matokeo ya Mwisho:


Ndanda 1 - 0 Yanga
Stand United 1 - 0 Ruvu Shooting
JKT Ruvu 1 - 2 Simba SC
Mbeya City 1 - 0 Polisi Morogro
Mtibwa Sugar 1 - 2 Coastal Union
Kagera Sugar 0 - 0 Prisons FC
Azam FC 0 - 0 Mgambo Shooting
 
hivi matokeo ya leo yanaweza kuamua mshindi wa nafasi ya pili au ndo hivo azam alishajiakikishia?
 
Leo mapato ya simba.....zitapatikana sh.laki 2na elf 54....piga mahesabu vat,ulinzi usafi, umeme na kila timu itapata kiasi gani..na pesa watakazopata simba zitalimwa na tff kwa ajili ya tambwe na chanongo.....mapato yatakayopatikana mechi ya yanga mil.84,baada ya makato yote kila timu itapata milioni 40 ni advance ya zawadi kwa wachezaji wa yanga kabla hawajapatiwa zawadi nyinginezo
 
Ndio inaoneshwa,.....

Game zilizo live leo kupitia azam tv-

Ndanda vs Yanga

Azam vs mgambo jkt

Stand united vs ruvu shooting.

Ya simba vp ,hawaoneshi?
 
hivi matokeo ya leo yanaweza kuamua mshindi wa nafasi ya pili au ndo hivo azam alishajiakikishia?

Mkuu mechi za leo ni za kumtafuta wa kutelemka daraja na wa nafasi kuanzia ya nne na kuendelea.
 
Hiki kikosi cha yanga kah,
sijui ni cha ushindi au cha kuibeba ndanda fc.
 
Back
Top Bottom