Mi nakaa kimya hadi baada ya tarehe 5/1/20[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Simba wote tukae kimya tutulieee kabisaa
Mimi Mnyama mzee sema nimewatahadharisha wanyama wenzangu tukaushe wakija wale mbute wataanza kufukua makaburi hatutakaa humu kwa amani 😯Mi nakaa kimya hadi baada ya tarehe 5/1/20
Poleni [emoji196] [emoji196] fc naona mmepapaswa
Mbona juzi hukulalamika kuhusu makambo kuhusu Pengo lake mlipokua ugenini na township??makambo alipoondoka nilimind sana
sababu kuziba pengo lake ni vigumu mnoo.
utapata wapi striker aliyekamilika kama makambo?
jamaa kiukweli alitusaidia sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rudi tu mkuuNarudi nyumbani ooooh narudi nyumbani Gairo narudi kwetu Tandahimba
Jamani mnatuuwa mbavu huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa Terminal 3 ni Rose Muhando (Nibebe)
Hii Yanga kama timu ya WanakwayaNibebe nibebe nibebe leo imeshindikana hahahahahahahahah
Hakuna hiyoo mzee, mimi sifati itifakiMimi Mnyama mzee sema nimewatahadharisha wanyama wenzangu tukaushe wakija wale mbute wataanza kufukua makaburi hatutakaa humu kwa amani [emoji54]
Jezi ya zesco nimeuziwa 6000 jana, hivi ndio bei yake elekezi au nimeibiwa??Yanga hoyeeeeeeee...hahaha mam.ae nasubiri aibu ya zesco
Naomba wapandishe ifike 20K mkuu, maana kipigo watakachotoa kinazidi thamani ya hiyo jeziJezi ya zesco nimeuziwa 6000 jana, hivi ndio bei yake elekezi au nimeibiwa??