Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

maisha yako kasi sana, sasa hivi simba hamuizungumzii tena klabu bingwa africa, mnakomaa na JKT, NAMUNGO . hahaha vipi mpango wa kufika nusu fainali ya klabu bingwa africa ndio umeshakufa
Tumebaki wapenzi watazamaji tu, japo tunaowatazama nao hawaonekani.
 
Mpira ni dk 90! Kama mbumbumbu fc waliweza kusawazisha goli dk ya 86 baada ya kuhenyeshwa mwanzo mwisho na ud songo, itashindwaje timu ya wananchi kusawazisha hako kagoli na kuongeza nyingine kipindi cha pili?

Ngoja aingie Anko muone.
Tayari mmeanza mambo yenu. Mshatanuliwa
 
Back
Top Bottom