Wewe jamaa una gubu sana.Huyu refa kauniudhi sana,
Hahahaah vijembe vya washabiki wa yanga vimesababisha washabiki wa simba wakaingiwa Na mzuka wa kung'oa vitiWataadhibiwaje timu zote wakati waliong'oa viti ni Simba peke yake
Umesimama muda mrefu baada ya yanga kupewa goli la mkonowameongeza dakika 9 bhana daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee kuna watu mnavituko...eti kasi ya bombardierSimba wanavunja viti kwa kasi ya Bombadier
Kila team ina eneo lake, sasa kwanini waadhibiwe wote?Kwenye kung'oa viti hapo uhuni ndio umezidi.......waadhibiwe timu zote mbili.!
wambieee mamaTulia weweeee
Leo mtatafuta kila sababu.
Duh upo...!Tulia weweeee
Leo mtatafuta kila sababu.
Hata mimi nimeshangaa kwanza goli lenyewe la mkono.Huyu refa ni hovyo..sijaelewa ile kadi nyekundu kwa MKUDE ni kosa gani?