Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Acheni kulia lia tueni kandanda bado,tambwe ana magoli mengine mawili kwa siku ya leo
 
Ukiacha vurugu zilizotokea lakini simba bado tuna nafasi
 
Wachezaji wa bongo sio professional, professional huwezi kubehave kama wachezaji wa simba . Refa nae aendane na kasi ya mpira simba wamekataliwa goli lao halali na si offside na lile la tabwe kashika kweli lkn refa kashaamua, ila aendane na kasi ya mpira pamoja na rise man wake.
 
Back
Top Bottom