Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Hihiiiiiii kuna watu watakula ban leo.
Matusi ya nini?Nimeogopa kukuquote nisijekula ban nikashindwa kushangilia mieee [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hata mm sitaki kumkwaza mod leo [emoji3]
 
Mpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
Labda kama huwa wanachezea kwako barca na Madrid
 
Ulishawahi ona wapi deby team inabebwa kiasi cha refa kuona mchezaji anabeba mpira kwa mkono na goal linabarikiwa na refa
Tunazungumzia red card. Niambie ni Derby gani Captain wa team anamsukuma refa na hakupewa kadi nyekundu?

Jonas Mkude kama captain alitakiwa awe chanzo cha nidhamu. Ile red alistahili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…