OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Viva
Ingizeni Said Ndemla na Mavugo aache uhanithi ndio mtashinda otherwise tutawafunga au mtaambulia drooSIMBA TUNASHINDA!
NJAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mechi kubwa kama hz tuwe tunaomba refa toka njeTFF imuadhibu huyu mwamuzi kwa nini atuharibie mpira??
Ha ha hadah,
khatari sana!
mmnyama anaelekea kibra
Bado haujatengua kauli hii?Yanga akishinda mnipige Ban ya maisha.
VITI VYETU MLIPE MKUU
Mechi kubwa kama hz tuwe tunaomba refa toka nje
Atalipa refa yeye ndie sababu ya mabogaz wa uwanjani waliong'oa vt