Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Presha inapanda....presha inashuka...,,
Leo lazima afe mtu.......

Eeh Mungu niepushie kikombe hiki...
 
[quote uid=286056 name="Mussolin5" post=17871015]Yanga akishinda mnipige Ban ya maisha.[/QUOTE]<br />Bado haujatengua kauli hii?
 
Yanga tunataka ushindi,kelele za Simba hazituzuii kitu
 
Back
Top Bottom