Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Alifanya kosa gani huyu hadi akafungiwa maana inabidi asichezeshe mpira wa ligi yoyote hapa Tz
 
Sawa lakini ni upumbavu kuvunja viti
Unavunja ili ikusaidieje!!?
Ila hali ilikuwa Mbaya uwanjani kiukweli polisi mnatakiwa muwe wengi ktk mechi kama hii
 
Nimejiuliza sana weledi wa askari wetu kwenye jambo kama hili, kuna mama alikuwa na mtoto mdogo sana hata mwaka mmoja hajafika, ukweli alikuwa na hali mbaya sana, sasa mtoto yule angeweza kufa bila sababu,
 
Yanga leo ndio wamedhihirisha kuwa ubingwa wao ni wa mbeleko.......

Kuanzia leo sitashangaa Yanga akiwa mtalii kimataifa kwani huko hakuna ujanja ujanja......
 
hili ni zaidi ya lile la nape nnauye

Hebu niambie mkuu....unawezaje kuitofautisha Yanga na CCM ....!??
Maana mimi nimeshindwa kabisa.....
Sasa kama wana uhusiano na CCM usishangae magoli yao mkono....
 
Wenyewe wanadai ni mkono wa Mungu! Eti Mkono wa Tambwe umeshageuka na kuwa mkono wa Mungu!! 🙁🙁🙁
 

Nadhani kabla ya kuchangia ni busara kuukosoa mfumo wa Ligi wa Tanzania, mfumo wetu chini ya TFF unafuata mfumo wa Ulaya ambao hauendani kabisa na mfumo wa CAF,
Mfano Yanga imecheza ligi msimu uliopita huku Ikicheza FA na pia Champions league, Yanga ikafanikiwa kuingia kwenye makundi, yaliopelekea Yanga kuingia Msimu wa pili wa league huku wakiwa bado ndani ya Champions league ya msimu uliopita,
Baada ya Yanga kutolewa kwenye hatua ya Makundi hapohapo wamerudi kwenye league na mwezi wa Pili wanaanza tena Champions league Sasa hao wachezaji wa Yanga wanapumzika lini?

Yanga wana wachezaji wazuri sanalakini wameshachoka sana
 

tumia akili tambe mpira umemgonga mkononi.sio tatizo kwenye sheria za soka angeusukuma ule mpira mbele ingekua kosa
 
Mwanzoni refa alikataa goli halali. Kakubali la mkono. Fairness refa aliipoteza kabisa. Watu wanapressure ya goli la mkono then unakazia kwa kadi nyekundu. INATIA HASIRA SANA.
 
ila mbowe nae alikuwepo aliona tena goli la mpila
 
simba si watu wa mchezo mchezo hata kidogo!
 
Refa n binadamu na awezi kuwa perfect 100% kwa iyo gori gori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…