Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Malinzi lazima ango'ke ili mpira wa tanzania uendelee...haiwezekan refaa ambaye katoka kufungiwa kwa kuchezesha mpira vibayaa afu leo anapewa deby kuchezesha....ila tunataka tuwambie nyinyi mnaobebwa na tff yakuwa simba au mnyama hakuna wa kumzuia kubeba kombe
Alifanya kosa gani huyu hadi akafungiwa maana inabidi asichezeshe mpira wa ligi yoyote hapa Tz
 
Sawa lakini ni upumbavu kuvunja viti
Unavunja ili ikusaidieje!!?
Ila hali ilikuwa Mbaya uwanjani kiukweli polisi mnatakiwa muwe wengi ktk mechi kama hii
 
Pole mkuu. Pale askari nao walifanya kosa kuanza kurusha mabomu wakati wangeweza kutuliza zile vurugu bila kufanya vile. Kule jukwaani kulikuwa Na watoto Na walemavu ambao hata hawakufanya fujo ila huenda waliathirika Na hayo mabomu. Kungeweza kutokea vifo kwa watu kukanyagana
Nimejiuliza sana weledi wa askari wetu kwenye jambo kama hili, kuna mama alikuwa na mtoto mdogo sana hata mwaka mmoja hajafika, ukweli alikuwa na hali mbaya sana, sasa mtoto yule angeweza kufa bila sababu,
 
Wenyewe wanadai ni mkono wa Mungu! Eti Mkono wa Tambwe umeshageuka na kuwa mkono wa Mungu!! 🙁🙁🙁
 
Hakika nawaomba sana Wachambuzi wa Tanzania hebu tuuchambue mchezo wa ligi Kuu Vodacom kati ya Simba Na Yanga uliofanyika katika Uwanja wa Taiga Leo tarehe 01/10/2016.Tujikite kati viwango vya wachezaji, Makocha, Marefa ili tuondoa mawazo chanya miongoni mwa mashabiki.

Nadhani kabla ya kuchangia ni busara kuukosoa mfumo wa Ligi wa Tanzania, mfumo wetu chini ya TFF unafuata mfumo wa Ulaya ambao hauendani kabisa na mfumo wa CAF,
Mfano Yanga imecheza ligi msimu uliopita huku Ikicheza FA na pia Champions league, Yanga ikafanikiwa kuingia kwenye makundi, yaliopelekea Yanga kuingia Msimu wa pili wa league huku wakiwa bado ndani ya Champions league ya msimu uliopita,
Baada ya Yanga kutolewa kwenye hatua ya Makundi hapohapo wamerudi kwenye league na mwezi wa Pili wanaanza tena Champions league Sasa hao wachezaji wa Yanga wanapumzika lini?

Yanga wana wachezaji wazuri sanalakini wameshachoka sana
 
Hakika Vurugu za mashabiki wa soka Leo Uwanja wa Taiga zimesababishwa Na Refa wa mchezo wa Leo aliyekubali Goli la mkono lililofungwa Na Mchezaji Tambwe wa Yanga .Inashangaza sana kuona Refa amelikubali goli hilo wakati aliliona kwani alikuwa karibu Na Huyo mchezaji lakini Kwa makusudi alilikubaki.Jama haitoshi Refa huyo akampa kadi nyekundu Nahodha wa Klabu ya Simba hali ambayo iliamsha hasira Kwa Mashabiki wa Simba Na kusababisha vurugu kubwa.Wakati umefika Kwa TFF kutafuta Marefa nje ya Tanzania kwani Marefa wetu wanachezesha Kwa Ushabiki.

tumia akili tambe mpira umemgonga mkononi.sio tatizo kwenye sheria za soka angeusukuma ule mpira mbele ingekua kosa
 
Mwanzoni refa alikataa goli halali. Kakubali la mkono. Fairness refa aliipoteza kabisa. Watu wanapressure ya goli la mkono then unakazia kwa kadi nyekundu. INATIA HASIRA SANA.
 
ila mbowe nae alikuwepo aliona tena goli la mpila
 
Back
Top Bottom