Huo ubinadamu kwa matukio mawili makubwa yote yanayoigharimu Simba?Ajib anafunga goli anaambiwa la kuotea....labda hakuona,Simba inafungwa goli,sio tu kwa mpira uligusa mkono bali mpira ulitambaa kwenye mkono kuanzia juu kidogo ya kiwiko cha mkono hadi kwenye kiganja na kuupeleka mwelekeo wa golini mbele yake(refa) then unasema makosa ya kibinadamu.HUJUMA!Refa n binadamu na awezi kuwa perfect 100% kwa iyo gori gori
Kwahiyo kama Ulaya wanafanya makosa basi nasi tuyahalalishe hayo makosa?Ni utetezi wa namna gani huo unaosema.Msiwe washamba hata ulaya huwa inatokea
Mungu wangu...matokeo ya mwaka gani haya....Simba 0. Yanga 3............!
Le Super Family [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Bado atoto sijui yuko wapi tushangilie.
Refa alishachukua hela na nyingine alianza kuzitumia juzi, sasa ilikuwa lazima ahakikishe Yanga inashinda. Kilichoharibu ni Barthez kushika kichwa baada ya mpira kutinga wavuni, refa akaona aibu kwa kuwa wachezaji wenyewe wa timu aliyotakiwa aibebe wameonyesha kujutia goli. sasa hivi Barthez anabebeshwa lawama kwa 'kukubali' goli wakati refa alkuwa anajipanga kulikataaukimaanisha kulikuwa na upangwaji matokeo kabla ya mechi kuanza?
Kugongwa kwa mkono na mpira ingeweza kuwa favor kama aliyegonga alikuwa anazuia, ila akiwa anashambulia hakuna favor ni faulo tu, tena na kadi juutumia akili tambe mpira umemgonga mkononi.sio tatizo kwenye sheria za soka angeusukuma ule mpira mbele ingekua kosa
Pole mkuu, pole sana.Mzee lilipotua miguuni nikahisi pumzi inakata, mbele yangu kuna dada anachupa ya maji nikampokonya nikanawa, mwingine kalala Chini ya viti, ilibidi nipande juu kabisa, pumzi ilikata kabisa, nikahisi network search
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo ndala kagegeda kubwajinga takribani dakika 88 hivi kubwajinga limekaaa tu linafurahia mautamu ya ndala na kumkatia viuno.Heeee ile ndala anataka kupiiiz si kubwapori likashtuka kwamba linabakwa likarukaaa na mgegedo ukaishia hapo.
Acha mambo we goli goli ili mrad liitwe goli ayo mengine yakooooogoli halali kukataliwa, nyie kupewa goli la mkono, sisi red card ya ajabu na washabiki wetu kupunguzwa lakini mmeutafuta kwa tochi
tena Red cardHao waamuzi wameharibu mchezo kwa makusudi kabisa. Ingekua bahati Mbaya tungeona hata yanga wakionewa. Kwanini iwe simba tu. Lile goli lisingefungwa kwa kona ya moja kwa moja nadhani mwamuzi angekataa.
inatia hasira sana..Nasikia comments za watangazaji wa ITV baada ya habari za michezo hapa, na wanasema kuwa bao la Simba la dakika ya 86 walau limepunguza jazba ya mashabiki wa Simba ambao walikasirika kutokana na maamuzi mabaya dhidi yao. Mwamuzi Martin Sanya alitoa maamuzi makubwa matatu yenye kuiminya Simba; kukataa goli halali la Ibrahim Hajibu wa Simba, kukubali goli lisilo halali la Amis Tambwe wa Yanga na kutoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Simba, Jonas Mkude.
My take:
Waamuzi tendeni haki ili msije mkawa mnaishi kwa wasiwasi kama ambavyo dondoo za watangazaji wa ITV walivyoongea
nauga mkono Mawazo yko ila kuhusu kungoa viti baiunga mkono timu yangu na hii ni TAARIFA kuwa siku nyingine yatatokea makubwa zaidi ya hilo iko siku atatokea kichaa ataenda kuondoka na kichwa pumbavu kabisa yaani mtu atupangie matokeo na mke wakeKitendo cha shabiki kuvunja viti sio kizuri nafikiri tff sasa wabadili mfumo mechi ya simba na yanga ichezewe mchangani ambako hakuna viti vya kuvunja
Sasa narudi kwenye mada,refa na wasaidizi wake wameharibu Mpira hasa kipindi cha kwanza,ilikuwa vigumu kuona Mpira ulivyo shikwa ila kwa like goli LA simba kulikataa eti mchezaji kazidi hakuwa amezidi alitoka baada ya Mpira kupigwa ni maoni yangu tu