Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Refa n binadamu na awezi kuwa perfect 100% kwa iyo gori gori
Huo ubinadamu kwa matukio mawili makubwa yote yanayoigharimu Simba?Ajib anafunga goli anaambiwa la kuotea....labda hakuona,Simba inafungwa goli,sio tu kwa mpira uligusa mkono bali mpira ulitambaa kwenye mkono kuanzia juu kidogo ya kiwiko cha mkono hadi kwenye kiganja na kuupeleka mwelekeo wa golini mbele yake(refa) then unasema makosa ya kibinadamu.HUJUMA!
 
Leo ndala kagegeda kubwajinga takribani dakika 88 hivi kubwajinga limekaaa tu linafurahia mautamu ya ndala na kumkatia viuno.Heeee ile ndala anataka kupiiiz si kubwapori likashtuka kwamba linabakwa likarukaaa na mgegedo ukaishia hapo.
 
Hao waamuzi wameharibu mchezo kwa makusudi kabisa. Ingekua bahati Mbaya tungeona hata yanga wakionewa. Kwanini iwe simba tu. Lile goli lisingefungwa kwa kona ya moja kwa moja nadhani mwamuzi angekataa.
 
Le Super Family [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Bado atoto sijui yuko wapi tushangilie.
IMG-20161001-WA0035.jpeg


Hivi leo timu gani ilikua inacheza pungufu[emoji23] [emoji23]
 
ukimaanisha kulikuwa na upangwaji matokeo kabla ya mechi kuanza?
Refa alishachukua hela na nyingine alianza kuzitumia juzi, sasa ilikuwa lazima ahakikishe Yanga inashinda. Kilichoharibu ni Barthez kushika kichwa baada ya mpira kutinga wavuni, refa akaona aibu kwa kuwa wachezaji wenyewe wa timu aliyotakiwa aibebe wameonyesha kujutia goli. sasa hivi Barthez anabebeshwa lawama kwa 'kukubali' goli wakati refa alkuwa anajipanga kulikataa
 
Mzee lilipotua miguuni nikahisi pumzi inakata, mbele yangu kuna dada anachupa ya maji nikampokonya nikanawa, mwingine kalala Chini ya viti, ilibidi nipande juu kabisa, pumzi ilikata kabisa, nikahisi network search
Pole mkuu, pole sana.
 
Leo ndala kagegeda kubwajinga takribani dakika 88 hivi kubwajinga limekaaa tu linafurahia mautamu ya ndala na kumkatia viuno.Heeee ile ndala anataka kupiiiz si kubwapori likashtuka kwamba linabakwa likarukaaa na mgegedo ukaishia hapo.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Yaaani leo nimekuwa na hasira na huyu refa wa leo kiasi kwamba ningekuwa uwanja na mguu wa kuku, angekiona aisee. TFF isipomchukulia hatua huyu refa basi naweza sema nchi hii haitkuja kupiga hatua yoyote ya kimichezo na mimi ndo itakuwa mara ya mwisho kufuatilia mpira wa kibongo
 
Ukibebwa kunja miguu, Yanga hawakuzingatia hilo.........wamebebwa na Refa Uchwara halafu wamening'iniza miguu
14440646_1792770594303347_8356871316873739030_n.jpg

Mtoto Kichuya hakuamini kama Refa kakubali goli lake,refa rudisha hela ya Manji
 
BREAKING NEWS
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa netball nchini ( *CHANETA*) ametangaza rasmi kumwita *Hamisi Tambwe* kwenye kikosi cha Timu ya Taifa.

*Taifa Qeens*
*Hawatakagi ujinga*
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Hao waamuzi wameharibu mchezo kwa makusudi kabisa. Ingekua bahati Mbaya tungeona hata yanga wakionewa. Kwanini iwe simba tu. Lile goli lisingefungwa kwa kona ya moja kwa moja nadhani mwamuzi angekataa.
tena Red card
 
Nasikia comments za watangazaji wa ITV baada ya habari za michezo hapa, na wanasema kuwa bao la Simba la dakika ya 86 walau limepunguza jazba ya mashabiki wa Simba ambao walikasirika kutokana na maamuzi mabaya dhidi yao. Mwamuzi Martin Sanya alitoa maamuzi makubwa matatu yenye kuiminya Simba; kukataa goli halali la Ibrahim Hajibu wa Simba, kukubali goli lisilo halali la Amis Tambwe wa Yanga na kutoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Simba, Jonas Mkude.
My take:
Waamuzi tendeni haki ili msije mkawa mnaishi kwa wasiwasi kama ambavyo dondoo za watangazaji wa ITV walivyoongea
inatia hasira sana..
 
Kitendo cha shabiki kuvunja viti sio kizuri nafikiri tff sasa wabadili mfumo mechi ya simba na yanga ichezewe mchangani ambako hakuna viti vya kuvunja

Sasa narudi kwenye mada,refa na wasaidizi wake wameharibu Mpira hasa kipindi cha kwanza,ilikuwa vigumu kuona Mpira ulivyo shikwa ila kwa like goli LA simba kulikataa eti mchezaji kazidi hakuwa amezidi alitoka baada ya Mpira kupigwa ni maoni yangu tu
nauga mkono Mawazo yko ila kuhusu kungoa viti baiunga mkono timu yangu na hii ni TAARIFA kuwa siku nyingine yatatokea makubwa zaidi ya hilo iko siku atatokea kichaa ataenda kuondoka na kichwa pumbavu kabisa yaani mtu atupangie matokeo na mke wake
 
Back
Top Bottom