Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Tushukuru vile Simba hawapandi ndege ipo siku viti vya Bombardier vingeng'olewa.
 
Kipindi cha yule refa mwanamke mlifurahi sana nyie mikia sasa ni zamu yetu.
 
Kwa Tanzania mara ya mwisho kushuhudia goli kama la Tambwe Lile la netball na kama la Fundi kichuya ni lini.
 
Kitendo kinachofanywa na Yanga kushirikiana na waamuzi Uchwara madhara yake hayataonekana leo wala kesho. Kumbukeni kuna mashabiki wa Simba wako Arusha, Mbeya, Mwanza nk hasira zao zimebaki mioyoni mwao. Heri wale wa Dsm wamemaliza hisia zao kwenye viti. Ila sie wa mbali amini nawambia hasira zao zitaishia siku moja kuvunja vioo vya basi lenu na huenda hata kuwapasua ngeu. Niseme mim binafsi nimekerwa sana na Reffa wa leo, sitak kusema ningefanya nin Taifa ila ningeshiriki kupaza sauti za kukemea maamuzi mabovu. Itz very shame. Tusifurahie upumbavu unaolitia Taifa hasara. Na hii inchi ikiendelea Kumchekea huyu Tajiri uchwara anayehonga waaamuz uchwara, mara kulipia viingilio vya mechi za Kimataifa kwa mashabiki Uchwara hakika Uwanja wa Taifa utabaki magofu.
 
Ila hii ishu ya kupiga mabomu ya machozi uwanjani iko siku kutatokea mkanyagano wa maana raia wapoteze maisha.
 
wanabahati hakuna mechi Arusha...
 
Tukio la jana katika uwanja wa Taifa kati ya Simba na yanga limenipa funzo gumu saana. Kumbe zuruma inaweza kujenga uasi. Tuteende Haki.


Bt Mh Zitto Kabwe ,Mo, Jb, Mwana Fa , Ommy dimpoz kwa nini mulivunja vitu uwanjani jana. Wakati mchezo hauitaji hasita.

Soka la Bongo [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Maajabu makubwa Uwanja wa Taifa Jana TFF, REFA,Mh.Mbowe Mh.Mwigulu wakisherehekea BAO LA MSAADA LA MKONO LA TAMBWE.Kwa mtindo huu soka la Tanzania litaendelea kubaki pale pale.Marefa wamekuwa wanachezesha kishabiki badala ya Sheria 17 za Soka.Mie nashauri ili kuepusha mauaji katika viwanja vyetu Waamuzi wa mechi za Simba Na Yanga zichezeshwe Na Waamuzi toka Nje ya Nchi.Refa ya mechi ya Jana ndio chanzo cha Vurugu kwani licha ya kuwa karibu Na mchezaji aliyefunga Bao la Mkono na kumwona bado alilikubali , Bao alilofunga Mchezaji Ajib wa Simba alilikataa Kwa madai ya Offside wakati haikuwa hivyo yote hayo yanathibitisha Udhaifu wa Refa.Refa Huyo ametoka kifungoni cha TFF Kwa kutojua Sheria.
 
Mchezo ulianza vizuri na taratibu lakini refa tangu mwanzo alionyesha kabisa kutomudu kabisa Kasi ya mchezo kwa kushindwa kusimamia Sheria kumi na saba za mpira,maamuzi yake mengi yalikuwa yakubahatisha ,, alikataa goli la wazi la ajibu akidai eti ni offside lakini kituko kikubwa nipale alipokubali goli la mkono la hamisi tambwe mpaka kupelekea vurugu kubwa za mashabiki kung'oa viti nakutupa ovyo , lakini kituko kingine nipale alipo mpa kadi ya Pili ya njano goli kipa Wa yanga "Mustafa batezi" kwakupewa kadi ya Pili ya njano ilitakiwa batezi atoke nje kwa kadi nyekundu,.,,TFF waache kufanya majaribio ya marefa wao kwenye mechi kubwa Kama za Simba na yanga watakuja sababisha maafa....
 
Hivi huyu mwamuzi wa mechi ya Jana alikuwa anatafsiri sheria zip za soka?
Kama alikuwa anatumia sheria za FIFA basi hafai kuwa mwamuzi. Na Kama alitumia sheria za Rais wa TFF basi kuna mgao hapo na TAKUKURU wafanye kazi yao.Maana haiwezekani waamuzi wote wasione kama Tambwe kafunga bao la mkono.
 
The gones are the gones....itabaki kumbukumbu ya goli la mkono lililofungwa na raia wa burundi
 
Refa wa ajabu kama huyu hafai kabisa
 
Afu waamuzi hao hao waone eti Ajibu alikuwa offside wakati kulikuwa na mabeki wawili wa Yanga yard mbili mbele yake.

Malinzi has to go.......probably to hell.
 
Takukuru wawe na tabia ya kufuatilia AKAUNTI za Waamuzi kama WA Jana wameingiza kiasi gani?AKAUNTI zao wake zao na ndugu WA karibu .haiwezekani eti Mwamuzi ana beji ya FIFA afanye Yale bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…