Goli la Yanga ni Punyeto kabisa
LOL!!! Sijui nicheke au nilie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli la Yanga ni Punyeto kabisa
Umeokoka ungeshaa leoSimba wakishinda natembea uchi kariakoo
wanabahati hakuna mechi Arusha...Kitendo kinachofanywa na Yanga kushirikiana na waamuzi Uchwara madhara yake hayataonekana leo wala kesho. Kumbukeni kuna mashabiki wa Simba wako Arusha, Mbeya, Mwanza nk hasira zao zimebaki mioyoni mwao. Heri wale wa Dsm wamemaliza hisia zao kwenye viti. Ila sie wa mbali amini nawambia hasira zao zitaishia siku moja kuvunja vioo vya basi lenu na huenda hata kuwapasua ngeu. Niseme mim binafsi nimekerwa sana na Reffa wa leo, sitak kusema ningefanya nin Taifa ila ningeshiriki kupaza sauti za kukemea maamuzi mabovu. Itz very shame. Tusifurahie upumbavu unaolitia Taifa hasara. Na hii inchi ikiendelea Kumchekea huyu Tajiri uchwara anayehonga waaamuz uchwara, mara kulipia viingilio vya mechi za Kimataifa kwa mashabiki Uchwara hakika Uwanja wa Taifa utabaki magofu.
Afu waamuzi hao hao waone eti Ajibu alikuwa offside wakati kulikuwa na mabeki wawili wa Yanga yard mbili mbele yake.Hivi huyu mwamuzi wa mechi ya Jana alikuwa anatafsiri sheria zip za soka?
Kama alikuwa anatumia sheria za FIFA basi hafai kuwa mwamuzi. Na Kama alitumia sheria za Rais wa TFF basi kuna mgao hapo na TAKUKURU wafanye kazi yao.Maana haiwezekani waamuzi wote wasione kama Tambwe kafunga bao la mkono.