Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Mbona kuna mabomu! au sababu Mbowe yupo ndani uwanjani!
 
Simba hawaamini waliingia na mentality ya ushindi kibao kimewageukia wanashindwa kuamini
 
Naanza kuchinja kichwa nitachuna ngoz baadae
Yanga fc 1-0 simba sc
Mashabik wa simba wanang'oa vit nw
 
Taaaaambweeeee. Magoliiiiiiii,na kadi mmekulaaaaaa.mliuza Ak 47,mkanunua fimboooo
 
dah,
khatari sana!

mmnyama anaelekea kibra
 
Back
Top Bottom