Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Tambwe anatolewa kwa machela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kung'oa viti hapo uhuni ndio umezidi.......waadhibiwe timu zote mbili.!Watani mna wahuni wengi angalia sasa mnang'oa viti
Ndio maana kuna refa. Kila mtu kwake akitaka kuwa refa hatutacheza mpira. Visingio viachwe.Ule mpira uliosababisha goli ulikuwa wa mkono kabisa
Refa kaharibu mpira aiseeHuyu refa kauniudhi sana,
Wataadhibiwaje timu zote wakati waliong'oa viti ni Simba peke yakeKwenye kung'oa viti hapo uhuni ndio umezidi.......waadhibiwe timu zote mbili.!
Kwenye kung'oa viti hapo uhuni ndio umezidi.......waadhibiwe timu zote mbili.!
Tulia weweeeeTZ HAKUNA MPIRA AISEEEEEEEE MPIRA UMEINGILIWA NA SIASA
RADHA YA MPIRA IMEKUFA KABISA MPIRA UMEINGILIWA NA SIASA
Kama mnajua anunua si mngekataa kuchezaaa!!!!!!!Yanga bana, mpaka gemu ya namna hii wanainunua?
Tulia weweeee
Leo mtatafuta kila sababu.
Kesho tutasikia kwa vile ni Yanga Mkude kaamua kuuza mechiMkude katuangusha sana sisi Simba😛