tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Kwani kosa mpaka ulielewe wewe ndipo watoe kadi?Huyu refa ni hovyo..sijaelewa ile kadi nyekundu kwa MKUDE ni kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kosa mpaka ulielewe wewe ndipo watoe kadi?Huyu refa ni hovyo..sijaelewa ile kadi nyekundu kwa MKUDE ni kosa gani?
Umesimama muda mrefu baada ya yanga kupewa goli la mkono
Ukiacha vurugu zilizotokea lakini simba bado tuna nafasi
Mkuu mbona walialia sana? Tuoneshe uwezo uwanjani.TFF imuadhibu huyu mwamuzi kwa nini atuharibie mpira??
Bado pia bao la AjibBado bao la Ngoma
Umeandika kama kiongozi mmoja hivi.Ndio maana kuna refa. Kila mtu kwake akitaka kuwa refa hatutacheza mpira. Visingio viachwe.
Sasa km hujaelewa sababu kwann unaanza kulaumu?Huyu refa ni hovyo..sijaelewa ile kadi nyekundu kwa MKUDE ni kosa gani?
Mkuu unatetea taratibu au waogopa?Huyu refa vipi au anataka mpira uwe Dakika 60 kipindi cha kwanza
Achunguzwe , maana gemu hizo hata wachezaji wananunuliwa , fanya ujinga upewe red card tutakulipa .Mkude katuangusha sana sisi Simba😛
Na ukimwi juu, watakong'otwa na kutoka hawatoki ng'oo!Bado bao la Ngoma