DEWIS KAIJAGE
Member
- Jul 23, 2016
- 72
- 8
vp mmeshafunga nn kijana naona unasimba tuko juu, pamoja na figisu
mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vp mmeshafunga nn kijana naona unasimba tuko juu, pamoja na figisu
VepeeeeeeeeeMmmmmmh
Najaribu kuangalia tofauti ya uandishi wako wa kuonyesha goli la Yanga na lile la SimbaGoal: Kichuya
...
26' Goooal, Yanga anatangulia kwa kufunga goli la kwanza kupitia kwa Amis Tabwe
.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jf kesho...Tulog out,kumeshachafuka hapa.
Kuja hapa mnaenda wap tumepata pointi ugenini na refa alikuwa upande wenu lkn bure kabisaaaaaaaa!NIFFA TUONDOKE
goli halali kukataliwa, nyie kupewa goli la mkono, sisi red card ya ajabu na washabiki wetu kupunguzwa lakini mmeutafuta kwa tochivp mmeshafunga nn kijana naona una
mbwembwe
YANGA WENZANGU BADO NGAPI KWANI..???????????????