Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Nimejua kwanini yanga ilikuwa nyanya kombe ka shirikisho , kumbe bila kubargain hawawezi chochote .
 
Hii ndio simba ya kimataifa sasa!

sio hawa kandambili huwa wanaidhalilisha nchi!
 
Wakuda wamefanya figisu balaa,et mkude nyekundu
 
Hureeeeeeeeeeeee!!!!! Wapi Katavi????? Utabiri wako ni Kweli..........Ila tuache utani simba ni kidume kwa siku ya Leo .......... Yanga mjilaumu wenyeweeeeeee....... kiroho safi na viti tutalipaaaaaaaaaa japo haikuwa ustaarabu.....[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Back
Top Bottom