Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa mbeleko wamshukuru refa kwa kuwazadia goli la mkono
Simba kachezeshwa gwaride kwa kubali kugegedwa kwa dak 85
Mkuu kumbe huwa unapita kwenye Sports pia? He he heee, siasa bhana!Tulia hahaha
Simba kachezeshwa gwaride kwa kubali kugegedwa kwa dak 85
Umeeeoooonaeeee raha tupu
Na refa lazima aandike ripoti kwa YM ni kwa nini hakumaliza mpira dakika ya 85Simba kachezeshwa gwaride kwa kubali kugegedwa kwa dak 85
Tulog out,kumeshachafuka hapa.
Kiukweli LeoHaya Ndiyo Madhara Ya Kubebwa!! Ukichanika Mbeleko Unaishia Kupakatwa!! Hongera Simba Licha Ya Unaa Muliofanyiwa Lakini Still Mumeweza Kuonesha Ubora Mbele Ya Kandambili.